johnthebaptist
JF-Expert Member
- May 27, 2014
- 97,869
- 171,716
Acha wachagga wapumue kwa raha zao. Ndiyo maji yalishamwagika lakini yalikuwa maji taka ya eti CDM ni chama cha wachaggaNdugu zangu wa Kaskazini kununa hakutusaidii chochote maji ndio yameshamwagika
Tushukuru Mungu Lema bado yuko Kwenye game anawakilisha
Mlale unono ๐
Siyo kweliwachaga wana make nafikiri ~ 10% ya watanzagiza wote
Kati ya vitu vya hovyo ni pamoja na hiki kituko ulichoandika hapa.Ndugu zangu wa Kaskazini kununa hakutusaidii chochote maji ndio yameshamwagika
Tushukuru Mungu Lema bado yuko Kwenye game anawakilisha
Mlale unono ๐
Nimeipenda hiyo paragraph ya tatu๐คฃ.Kuna watu mna mentality za ajabu sana. Hakuna mchagga asiependa mabadiliko.
Lema mwenyewe ni mchagga tena jirani kabisa wa Mbowe kule Machame na still amemuunga mkono Lissu kwa maslahi mapana ya kuikomboa hii nchi kutoka mikononi mwa madhalimu, majizi, mafisadi ccm.
Hilo bandwagon la kuwa Chadema ni chama cha wachagga ni propaganda tu za majizi ya ccm ili kuwavuruga wanachama wa Chadema wa kanda nyingine.
Sasa sijui bwashee mtatumia gear gani. Soon utasikia Chadema ni chama cha Wanyaturu
Nimeipenda hiyo paragraph ya tatu๐คฃ.