GE2025 Kaskazini Unguja: Matukio na Matokeo ya Uchaguzi Mkuu 2025 kama yanavyotujia

GE2025 Kaskazini Unguja: Matukio na Matokeo ya Uchaguzi Mkuu 2025 kama yanavyotujia

Matukio, Taarifa, Habari na Mijadala ya Wananchi WAKATI wa Mchakato wa Uchaguzi Mkuu 2025

Roving Journalist

JF Roving Journalist
Joined
Apr 18, 2017
Posts
5,352
Reaction score
15,876
Wakuu,

Mada hii itakuwa na 'Updates' za Uchaguzi Mkuu 2025 kama yanavyotujia kutoka kwenu kutoka Kaskazini Unguja, Zanzibar, Ukiwa na taarifa yoyote ambayo ni ya eneo hili tafadhali usisite kuweka.

Mkoa wa Kaskazini Unguja una jumla ya Majimbo ya uchaguzi (8) ambayo ni:

1. Nungwi - Dkt. Salum Soud (CCM)
2. Kijini - Badria Attai Masoud (CCM)
3. Mkwajuni - Khamis Ali Vuai (CCM)
4. Chaani - Ayoub Mohammed Mahmoud (CCM)
5. Tumbatu - Dkt. Mahmuoud Omar Hamad (CCM)
6. Donge - Sadifa Juma Khamis (CCM)
7. Mahonda - Maulid Suleiman Othman (CCM)
8. Bumbwini - Mwinyi Jamal Ramadhan (CCM)

Kupata matukio ya nyuma kabla ya siku ya Uchaguzi soma > Kaskazini Unguja: Matukio yanayojiri kuelekea Uchaguzi wa Mkuu 2025
 
Back
Top Bottom