Nasema tena, usimiliki chochote kile,hata ukimiliki Genge la kuuza mbogamboga bado utasumbuliwa tu, ona wale wadada wanao miliki Mabeseni ya Miogo na karanga mbichi wanavyosumbuliwa na mgambo wa Jiji hadi inatia hasira!!
Sent from my TECNO KC8 using
JamiiForums mobile app