Kaskazini wagomea rasimu kanuni mpya LATRA

Kaskazini wagomea rasimu kanuni mpya LATRA

Maana kamili ya nchi kuitwa ya hovyo kabisa.

Si kumiliki chombo chochote bali usifanye shughuli yoyote pia.

View attachment 2629459

Mbaya zaidi nchi imejaa watu wenye husuda ya kufa mtu na wivu uliopitiliza. Kwamba anayekamuliwa ni yule mijinga mizezeta yotr huona ni sawa tu, kama yenyewe unadhani haihusuki moja kwa moja.

View attachment 2629457
Nasema tena, usimiliki chochote kile,hata ukimiliki Genge la kuuza mbogamboga bado utasumbuliwa tu, ona wale wadada wanao miliki Mabeseni ya Miogo na karanga mbichi wanavyosumbuliwa na mgambo wa Jiji hadi inatia hasira!!

Sent from my TECNO KC8 using JamiiForums mobile app
 
Back
Top Bottom