Kaskazini ya Kenya yazidi kufunguka, maendeleo kote

Vipi Kisumu? Mbona inasahaulika?

Tulifungua nyuzi nyingi sana za mambo makubwa yanayofanyika Kisumu, sema huoni wala husikii.
Kwanza Kisumu inakuja kuwapa ushindani mkubwa sana nyie wa Kolominje, itakua kitovu cha biashara ukanda huu.
SGR inatua hapo Kisumu ambapo kunajengwa bandari kubwa sana itakayo wanufaisha watu wa Mwanza, Kagera, Uganda, Rwanda, Burundi n.k.
 
Vipi Kisumu? Mbona inasahaulika?
Unataka ku compare Kisumu na Moyale?
Kisumu was never economically marginalised, Kisumu is politically marginalized, but places like north of Kenya are both politically and economically marginalised.... Kwahivyo maendeleo unayoyaona huko ni mara ya kwanza tangu tupate uhuru wa nchi hakujawahi fika lami huko, alafu kuna watz wengine wanasema eti lapsset ni white elephant? Umeona vile hio video imeoshesha b4 and after? Sahii majengo mapya, shopping center yanatokezea kando kando ya barabara kote, wanapata maziwa fresh toka Nairobi
 
Ndoto za mchana au bado umelala
 
duh,mazombie wanatoa povuuuu kweli na bado ile ya nadapal ndio inajengwa tuungane na wasudi nyweeeeee,raha kweli😀..hakuna kupita ug tena
 
Hiyo hela mnayo tayar au mnaendelea kuongeza deni hahahah
Afadhali uwe na deni ma uishi maisha Mazrui kuliko uwe hauna deni na unateseka. Madeni yote hayo yatakuja jilipia yenyewe maisha ya wananchi yakiboreka itakua ni wengi zaidi wanaolipa kodi kwa serekali ili kuwezesha madeni kulipwa.

Ya Isiolo mpaka moyale $500m imeshakamilika.

Ya lamu - Garissa hadi Isiolo ndo tender imetangazwa.

Ya Isiolo hadi nadapal/nakodok border ya S.Sudan $450m 400km ujenzi umeanza.
Ujenzi wa Barbara ya isiolo to S.sudan


Maendeleo yetu ya project huku yanaskika na kuonekana, sio kelele na maneno mengi tu kama watu wengine. Mbali na ukosefu wa amani, rushwa ya hali ya juu, ukabila....lakini hivyo hivyo bado tunazidi kuchana mbuga, sijui Kenya ingekua wapi kama tungetatua hayo maovu
 
Nahii nayo utasemaje, Upande wa Kenya, project nyengine inaitwa 'Lake victoria ring road' 450km , approx $500million USD ... Ujenzi unaanza Q4 ya mwaka ujao 2018View attachment 661651 View attachment 661652
Hii project yenu ambayo iko full funded na world Bank, ilikuwa ujenzi wake ukamilike December 2017,

Unaweza kutupa sababu za kina kwa nini Ujenzi huo hata haujaanza (achilia mbali kukamilika) na sasa unapelekwa mbele hadi Q4 2018?
 

Ni wapi ambapo project hazionekani? Hapa kwetu barabara zinafunguliwa kila siku, na tuna connection nzuri sana na nchi zote tunazopakana nazo, rwanda, burundi, Uganda, Zambia, na nyie hapo north! kote huko barabara zinapitika vizuri! Sitaki kurudia kuongea khs mipango ya Uganda!

Kingine unafaa ufahamu ni kuwa, asilimia kubwa ya bajeti ya tz iko kwenye miundombinu, Afya na Elimu.

Labda tukukumbushe kuwa kutokana na kelele za nduguzo wakenya, tulipunguza kupost habari za tz kwenye jukwaa hili. Hivyo ukiona hakuna habari za maendeleo hapa usifikiri hakuna kitu, tunawapa uhuru wa jukwaa!
Lakini naona kwa msemo wako huu unatupa go ahead, tutaanza kuweka habari za tz hapa kila siku!

Mwisho, unatamba eti maendeleo kwenu yanaonekana, haya tuonyeshe hyo ring road ya kutoka busia hadi migori iko wapi!
 
Saa nan anaishi maisha magumu kati yetu na yenu????
 
Hii project yenu ambayo iko full funded na world Bank, ilikuwa ujenzi wake ukamilike December 2017,

Unaweza kutupa sababu za kina kwa nini Ujenzi huo hata haujaanza (achilia mbali kukamilika) na sasa unapelekwa mbele hadi Q4 2018?
Unaongelea Barbara gani? Lake victoria ring road propasal ilifanyika june 2016, ndo wakafanya public participation, design and EIA imefamyika 2017 ... Kawaida project aina hii haswaa kama pesa zinatoka world bank hua kuna issue nyingi lazma utatue ... Alafu hizo pesa za world bank si za bure, lazma ziregeshwe tena na faida juu
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…