Hili la kazi kufanywa na kampuni za hapa nyumbani mie naliunga mkono sana; tatizo langu ni jinsi ya kutekeleza suala hilo!! Lakini kama uamuzi ungekuwa ni wangu mimi, hilo la kutoa mikopo kwa local contractors lingenipa shida kidogo kulifanyia maamuzi ya mara moja! Hata hivyo, ningekuwa serikali nazani ninge-opt kuanzisha a very big construction company ambayo share zake zitakuwa owned na one of our army, especially JKT if not JWTZ. Hawa ningehakikisha wanapata upendeleo katika government projects. Hata hivyo, plan ingekuwa ni kuhakikisha kila mradi unafanywa kwa ushirikiano baina ya serikali/JKT na one or more local contractor.....yaani some sort of PPP btn local contractor na JKT kwenye miradi ya serikali! Terms zingetengenezwa za nani anatakiwa ku-offer nini na atapata nini kwenye the said project!! Hata hivyo, the main project financier hapa mara nyingi kama sio zote anatarajiwa kuwa government/JKT.NasDaz hiyo khoja ya sita inabidi iende sambamba na hoja ya 4..........Ni jukumu la serikali kutoa mikopo kwa makandarasi wake na vitendea kazi ili kuongeza ushindani katika zabuni zake ambapo kwa kufanya hivyo gharama za ujenzi zitashuka sana na kuhakikisha kazi zinakuwa na ubora wa kuridhisha.
Aidha, katika ushirikishaji wa local contractors hapa ungeangalia yote, uwezo na uwakilishi! Say kama kuna 10 local contractors ambao wana uwezo, at least wa ku-offer human power, basi hawa wangekuwa kila mmoja anashirikishwa kwa mradi mmoja kutegemeana na available projects.