Hata akimbie vipi lazima apige U turn aingie na matako shimoniKuna video yale jamaa anakimbizwa na simba wawil wamemtege mmoja mbele mmoja nyuma, jamaa alikimbia mpaka akamkuta simba wa mbele na yeye akampita wote akawa kawaacha nyuma halaf akaingia kwenye shimo kinyume nyume. Inachekesha sana
Kwenye hii clicp jamaa kaua winga zoote yan ππππππ Mshana Jr
View attachment 3148861