Mshana Jr
Platinum Member
- Aug 19, 2012
- 301,577
- 754,412
Wanasayansi walipokuwa wakipanga sifa za wanyama mbalimbali , ngiri alikuwa kwenye mashimo yake kwa hiyo waliishia kuwapa mataji wanyama wasio na sifa.
Ufalme wa msituni ulienda kwa simba
Umahiri wa kasi zaidi ukaenda kwa duma ...lakini sifa zote mbili ni za ngiri... Sifa ya tatu ya ngiri ni la maegesho ya kinyumenyume.
Jamaa anaweza kurudi nyuma hadi kwenye shimo katikati ya mwendo wa kasi wa kukimbizwa kutoka sifuri ni kama gari la mashindano ya mbio na breki ni za papo hapo..
Ni wakati sasa wa kumtawaza bingwa mpya wao mwituni na nyikani kwa haki zote.. ikiwa duma anaweza kumfukuza ngiri na kushindwa kumkamata basi tunaye bingwa mpya, injini ya V16 bi-turbo 6.5L AMG.
www.facebook.com

Bei Facebook anmelden
Melde dich bei Facebook an, um dich mit deinen Freunden, deiner Familie und Personen, die du kennst, zu verbinden und Inhalte zu teilen.