SAYVILLE
JF-Expert Member
- Mar 25, 2010
- 7,895
- 12,975
- Thread starter
- #21
Ni kweli unalosema ila nadhani kuna mipango inasukwa ya kujenga uwanja mkubwa zaidi pale. Labda inaonekana wakianza size hii itakuwa matumizi mabaya ya rasilimali.Simba pale bunju wana kapeti nzuri tu ni swala la kusimika tu hata jukwaa la mabua nimeuangalia uwanja wa Jkt na huo wa kino boys tofauti na ule wa bunju ni mafundi welding kuingia mzigoni😂😂😂😂
Ukijenga uwanja wa size hii inabidi uupe hata miaka 10 ndiyo uufanyie maboresho kama walivyofanya Azam.