kasoro za mashine mpya za faini barabarani

illegal migrant

JF-Expert Member
Joined
Oct 18, 2013
Posts
1,277
Reaction score
1,121
kipindi cha zile karatasi tulizo zoea kuziita notification kulikuwa na sehemu mbili tofauti za kutia saini ama kukubali kosa ambapo unalipa papo halpo ama kukataa kosa ili shauri liende mahakamani kwamba hukubaliani ni tuhuma lakini hizi mashine za sasa hazina sehemu yoyote ya kukata rufaa nadhani kama mtu atawaza kama mimi anaweza kushauri vyema
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…