Wadau natumia Kaspersky 6.0 anti virus for workstation na hivi karibuni niliiingiliwa na Naked woman virus kwenye pen drive yangu; ajabu Kaspersky imeripoti kumwondoa lakini hatoki kwenye hiyo pen drive; Je kuna patch zozote za kaspersky kuhusu huyu virus? wapi nitazipata?