Kaspersky : Naked woman removal tool

Kaspersky : Naked woman removal tool

Masikini_Jeuri

JF-Expert Member
Joined
Jan 19, 2010
Posts
6,829
Reaction score
1,303
Wadau natumia Kaspersky 6.0 anti virus for workstation na hivi karibuni niliiingiliwa na Naked woman virus kwenye pen drive yangu; ajabu Kaspersky imeripoti kumwondoa lakini hatoki kwenye hiyo pen drive; Je kuna patch zozote za kaspersky kuhusu huyu virus? wapi nitazipata?
 
Mzee Kwanini Usi download kaspersky 2010...Hiyo naona kama version ya zamani sana....Huyo....Naked Women anatoka faster kwenye kaspersky...2010.
 
dawa yake huyo ipo inaitwa naked man. ukiiweka ina mbaka huyo naked woman mpaka anakimbia

hahahaa joke
 
Siwezi download kwani ninatumia business edition ambayo .exe yake ni hiyo version na ndio nilichukua license yake kwa matumizi ya wateja wangu
 
Back
Top Bottom