Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Weee usinambie[emoji848][emoji848]Ni kweli yuko kwenye mashine wakati familia inajiandaa kwa mazishi kisha watoe go ahead ya kuzima mashine!?
HakikaHapo ndio kwenye fumbo kuu la Mungu uzee na kifo havikwepeki.
Alikuwa anasaka vimchuchu, anapenda mademu sana..Huyu mzee na uzee wake huo alikua anaendesha Ranger Rover mpaka akapata nayo ajali.....
Mungu amjalie apone haraka
Mijusi kama kiumbe bora kabisa duniani ukimkata mguu anaota mwingine ikimkata mkia anaota mwingineKuhusu mjusi umenifikirisha!
Ukimkata kichwa au kiwili wili?Mijusi kama kiumbe bora kabisa duniani ukimkata mguu anaota mwingine ikimkata mkia anaota mwingine
Mambo yako haya Best.. Nikikumbuka ulivyoichambua ile harusi ya Prince Harry kipindi kile... Sina shaka nawe.Alikuwa anasaka vimchuchu, anapenda mademu sana..
Huwa najiuliza hili swali hao mademu anawafanya nini, maana naamini huko down hamna kitu, au kushika nyonyoo tu[emoji1787]
black sniper
Sky Eclat
Sent from my TECNO KA7 using JamiiForums mobile app
Nadharia ipi unaiamini kuhusu asili ya Binadamu?Naungana na huyu jamaa kupata maelezo japo kdg Mkuu kuhusu hii reptilian family
Sent from my HUAWEI LUA-U22 using JamiiForums mobile app
Hahaaaaaa, na ibaki kuwa theory tu. Ingawa kuhusu kutawala dunia, Ni kweli Kuna watu nyuma wanatawala kimyakimya.Nadharia ipi unaiamini kuhusu asili ya Binadamu?
1.Creationism
Mungu aliwaumba Adam na Hawa na kuwapa amri wa zalieane
Kizazi cha Adam na Hawa ndiyo sisi Binadam
2.Evolution
Jamii yote ya viumbe ikiwepo Binadam ni matokeo ya mabadiliko madogo madogo ya viumbe vilivyoishi miaka mingi iliyopita na kanuni ya asili inayoitwa natural selection ndiyo iliyohusika na inayohusika kuongoza mabadiliko hayo kwa kuondoa viumbe dhaifu na kuhakikisha viumbe vyenye nguvu vina faulu kuingia kizazi kingine
Japo Evolution inachukua mamilioni ya miaka kuwa na matokeo yanayoonekana
3.Na nadharia ya tatu ambayo yengi hawaifaham ni Reptilian Race theory
(Haina jina official kwa sababu haipo kwenye mainstream science)
Hii ipo hivi
Ni story kuhusu sisi...Mimi na wewe
Nakurudisha miaka 450,000 nyuma ya leo kuna jamii ya viumbe kutoka sayari ya mbali sana (Extra terrestrial race au alien)
Walikuja duniani kipindi hicho Binadam hatukuwepo Bali kulikua na Jamii ya Primates (aina ya wanyama mfano wa Nyani kwa lugha nyepesi)
Lengo La hawa viumbe ilikua ni kutafuta dhahabu,na dhahabu hii walihitaji kama malighafi ya vyombo vyao vya Anga na baadhi ya technologies zao nyingine
Baada ya kufanya utafiti wakagundua kuwa eneo lenye dhahabu nyingi na za kutosha ni Zimbabwe...... Hujakosea Zimbabwe hii hii ya Afrika
Na walipofika base yao yaliijenga katika eneo ambalo kwa sasa linajulikana kama Sumerian
Tatizo lilikua moja...kazi ilikua ni kubwa sana na wafanyakazi wao walizidiwa
Kama viumbe vyovyote vyenye akili hawa viumbe pia kwa jina la annunaki( tafsiri : wanaotokea angani)
Wakatafuta namna ambayo wanaweza ku rahisisha kazi
Jawabu walilopata lilikua ni moja
Kwa sababu kulikua na jamii ya Primate wakati ule wakatumia sayansi ya kucheza na vinasaba (DNA manipulation) au Genetic engineering kubadili hawa Primate kuwa aina ya viumbe wanaoweza kuwatumia kufanya kazi zao
Walichokifanya ni ku mix vinasaba vyao na vinasaba wa hawa primate kupata kiumbe watatu(Hybrid) ambaye alikua na utaishi kiasi cha kupewa maelekezo na kuyafata
Baada ya hawa viumbe vipya kuzaliana huku kazi yao kubwa ni kuchimba hizo dhahabu
Enki, mwanasayansi mkubwa wa viumbe hawa aliyeongoza Project ya kutengeneza hivi viumbe alitokea kuvipenda
Hii ni hisia ya kawaida kwa creator yoyote yule
So alichokifanya ni ku ongeza utashi wa hawa viumbe siku hadi siku na walipokua wengi baada ya kuzaliana wakawa wanapewa nafasi ya kuishi pamoja na Annunaki kama ndugu
Siku zikaja ambapo hawa viumbe ilibidi warudi walikotoka baada ya mission yao kuisha na hawakutaka kuacha viumbe walivyo viumba peke yao
Waliacha wenzao kuvisimamia
Miaka mingi imepita sasa turudi leo
Hivyo viumbe vilivyotengenezwa ndiyo sisi binadam
Na kizazi cha Annunaki kilichoacha ndiyo hao tunao waitwa Reptilian race au shape shifter
(Wanauwezo wa kubadilika badilika kuwa umbo lolote au MTU yoyote)
Na sio uchawi,ni asili yao
Na hawazeeki kama walivyo nyoka tu
Hii fact : Malkia Elizabeth ana miaka kama 95 ila anaendesha gari kama kijana wa miaka 23
So hawa annunaki ndiyo wapo nyuma ya kila organization kubwa duniani na wao ndio wanaamua dunia iende vipi
Unaweza kuwaita Illuminati au Freemason ila ndiyo viongozi nyuma ya viongozi
Hofu yao kubwa ni?
Wanaweza vipi kutawala jamii ya viumbe zaidi ya Billion 7 na wao wapo wachache?
So solution ni kutupunguza...kwa njia yoyote
Na kutufanya tubaki kuwa wajinga...
Note: nilichokiandika hapo sio ukweli ni nadharia
Ahsante sana mkuu mie hiyo nadharia ya tatu ndio nimeona iko sawa, niiliwahi kuskia kuhusu enki ,nadhani alikua na ndugu yake sijuiNadharia ipi unaiamini kuhusu asili ya Binadamu?

Vipi....jamaa amekujibu au...?Ukimkata kichwa au kiwili wili?
Kabisa. Miaka 100 kasoro miezi mitatu ni umri mkubwa. Mama wa malkia nadahni alifariki akiwa na miaka 102 or soUmri umeenda sana
I see. KumbeMajonzi ya msiba wa Margret ndiyo uliwahisha kifo cha queen mother.
... umeuliza ujinga aisee! Jibu hilo hapo:-Alikuwa anasaka vimchuchu, anapenda mademu sana..