Queen Elizabeth amekuwa symbol tu kwa English monarchy kwa sasa,
Ila maisha yake yote amelinda sana tamaduni zao,sheria na vinavyohusu utamaduni wao kwa ujumla,
Sina hakika na hiyo hand shake sababu sijawahi kutana nayo mahali,ila jambo moja i’m sure kwa margaret na queen ni katika kumchagulia suitors wake,Queen alikuwa na taarifa za watu wote mdogo wake aliokuwa akianzisha mahusiano nao,mfano wa kwanza alikuwaga married man soldier mwisho Elizabeth akainterven wakatenganishwa,capt peter downsend,hii bunge pia walikomaa sana Waziri mkuu by then Winston Churchill.
Yakaja mahusiano ya pili na Mpiga picha Anthony amstrong jones ambaye baadae aliitwa lord snowdon,huyu alimuoa kabisa,na Wakazaa watoto wawili,na ndoa Yao ndio ilikuwa ya kwanza televised live 1960,ila baadae queen akapata taarifa kuwa huyu jamaa anashiriki mahusiano ya Jinsia moja,na alikuwa na mke pia Kabla yake,so ili story zisitoke ilibidi wadivorce,ndoa ikavunjwa..
Kwa hiyo margaret maisha yake yote amekuwa akilalamika queen ndio amekuwa wa kuwachagulia furaha,sababu tu ya duties,ukitoka nje ya mstari kama Harry alivyofanya basi tittle zote unavuliwa,ila yote na yote Margaret alibaki kuchagua duties,
The Heartbreaking Royal Romance of Princess Margaret and Peter Townsend