Kassim Dewji ang’atuka Simba Sports Club

Kassim Dewji ang’atuka Simba Sports Club

utopolo og

JF-Expert Member
Joined
Nov 29, 2022
Posts
575
Reaction score
1,575
Aliyekuwa mjumbe wa bodi ya Wakurugenzi ya klabu ya Simba ndugu Kassim Dewji amestaafu rasmi kama kiongozi wa Simba S.C na Sasa anajiandaa na maisha mengine nje ya uongozi wa Simba
20230206_201124.jpg
 
Aliyekuwa mjumbe wa bodi ya Wakurugenzi ya klabu ya Simba ndugu Kassim Dewji amestaafu rasmi kama kiongozi wa Simba S.C na Sasa anajiandaa na maisha mengine nje ya uongozi wa SimbaView attachment 2508884
Dah! Si nikajua ni Mwamedi!! Kumbe ni Kassim!! Ingekiwa ni mwamedi, aisee muda huu huu wa usiku ningeenda kwa mzee mwenzangu Kilomoni, kumuomba aichukue timu haraka, kabla ya kuvamiwa na wahuni wengine.
 
Tunajua alikuwa ni Team Kalua katika Uchaguzi Mkuu uliomalizika hivi Majuzi tu akiwa na Mategemeo kabisa kuwa Kalua akishinda atampa Connection ya Kuuza Jezi za Simba SC kama alivyozoea huko nyuma na Kupiga Pesa nyingi.
 
Tunajua alikuwa ni Team Kalua katika Uchaguzi Mkuu uliomalizika hivi Majuzi tu akiwa na Mategemeo kabisa kuwa Kalua akishinda atampa Connection ya Kuuza Jezi za Simba SC kama alivyozoea huko nyuma na Kupiga Pesa nyingiet.
Uhi sports ni kampuni kubwa genta

Sio ya kususa kisa matokeo hayo ya uchaguzi.
 
Nikajua ni Mudi yule msimamizi wa Mali za ukoo ndio kang'atuka, kumbe ni huyu mwanaukoo
Kusimamia mali za ukoo unadhani ni jambo rahisi? Mbona wewe zile ukizoachiwa na wazazi wako umeshindwa kuziendeleza? By the way, wajanja wote duniani hujikita kuendeleza mali za ukoo;rejea the Rockefellers, the Rothschild, na hata the British Royal Family.
 
[emoji1][emoji1][emoji1][emoji1][emoji1][emoji119]
Simba ngufu moya
 
Kuna mambo mengi sana chini ya PAZIA.

MWAMEDI HAJA SETTLE ANAINGIA NA KUTOKA INGIA NA KUTOKA NYINGI.

KD ni MWANZILISHI WA Friends of Simba.
Friends of Simba hawakubaliani na MANGUNGO.
Sawa
 
Dah! Si nikajua ni Mwamedi!! Kumbe ni Kassim!! Ingekiwa ni mwamedi, aisee muda huu huu wa usiku ningeenda kwa mzee mwenzangu Kilomoni, kumuomba aichukue timu haraka, kabla ya kuvamiwa na wahuni wengine.
Wewe msambaa uza zako pears.Haya mambo makubwa sana kwa upeo wako wa kufikiri.
 
Kuna mambo mengi sana chini ya PAZIA.

MWAMEDI HAJA SETTLE ANAINGIA NA KUTOKA INGIA NA KUTOKA NYINGI.

KD ni MWANZILISHI WA Friends of Simba.
Friends of Simba hawakubaliani na MANGUNGO.
Na wewe una feel kabisa akiingia na kutoka? Utopolo akili zao wanazijua wenyewe.
 
Back
Top Bottom