Kassim Dewji ang’atuka Simba Sports Club

Kassim Dewji ang’atuka Simba Sports Club

Nikajua ni Mudi yule msimamizi wa Mali za ukoo ndio kang'atuka, kumbe ni huyu mwanaukoo
Laumu ufukara wa ukoo wako kushindwa kumilki japo hata PANYA tu huenda sasa hivi ungekuwa msimamizi wa hao panya kuliko kulaumu wasimamizi wanaosimamia mali za Koo zao.

Sent from my Infinix X612 using JamiiForums mobile app
 
Ameibukia utopoloni huyo,usajili bora kabisa kwa wananchi huuu
 
Back
Top Bottom