Kassim Dewji kujiuzulu uongozi Simba SC apewe heshima

Kassim Dewji kujiuzulu uongozi Simba SC apewe heshima

kasindaga

Senior Member
Joined
Sep 6, 2013
Posts
165
Reaction score
165
Inasikitiisha kuona Mzee Dewji kujiuzulu uongozi inakuwa kashfa kwake na familia yake.
Mzee Dewji kajitolea kuiongoza Simba miaka ya 80 na ikawa na mafanikio makubwa.
Sio busara kumporomoshea matusi, Laana yake Simba inaweza kuwa nyau.

Tuwaheshimi viongozi

----
KASSIM Dewji “KD” amejiuzulu nyadhifa zake zote za kuchaguliwa na kuteuliwa Simba SC. KD amemwandikia Murtaza MANGUNGU Mwenyekiti wa Simba SC kumjulisha maamuzi yake hayo, amedumu kwenye nafasi mbalimbali kwenye mpira tangu 1989

Dewji.jpg
 
Hebu fafanua vizuri mkuu sio wote tuliokuepo eneo la tukio
 
Asepe zake huko kapiga hela sana kwenye dili la jezi ndiyo maana alikuwa anamchukia Barbara kwa kumzibia mfereji wake
 
Back
Top Bottom