Tajiri la Bitcoin
JF-Expert Member
- Apr 9, 2017
- 1,139
- 707
MSUKUMA ASHUKIWA NA MJUMBE WA MKUTANO MKUU CCM TAIFA
_____________________________________
Amwambia Lengo lake ni kugombanisha Machinga na Serikali.
Atajwa kuratibu kundi la Kumkwamisha Mhe. Rais Samia Suluhu Hassan 2025.
Uraia wake wahojiwa Kwa kutumia jina la mama yake kama jina la baba.
Mjumbe wa mkutano Mkuu Taifa wa Chama Cha Mapinduzi CCM Kassim Gogo amemuonya Mbunge wa Geita Vijijini Joseph Msukuma kwa kutumia vibaya zoezi la kuwapanga Vizuri Machinga kugombanisha na kujenga uhasama Kati ya Machinga na Serikali yao.
Mjumbe huyo amemuelezea Mbunge Msukuma Kama adui hatari mwenye sura mbili ambapo amesema Msukuma na wenzake wanajificha kwenye mwavuli wa Zoezi la Chanjo, Kuwapanga Machinga na Dini kupenyeza ajenda zao za Chuki dhidhi ya Serikali ili kukwamisha jitiada za Rais Samia Suluhu Hassan 2025 ili wamuweke Rais wao.
Aidha Gogo ameviomba Vyombo vya Usalama kuanza kuchunguza uraia wa Msukuma kutokana na uraia wake kuwa wa Mashaka.
Pamoja na hayo Gogo amempongeza Rais Samia Suluhu Hassan kwa busara kubwa aliyoitumia Kwenye maelekezo ya Kuwapanga Vizuri Machinga.
Cc: Hamprey Polepole
Josephate Gwajima