MSUKUMA ASHUKIWA NA MJUMBE WA MKUTANO MKUU CCM TAIFA
_____________________________________
Amwambia Lengo lake ni kugombanisha Machinga na Serikali.
Atajwa kuratibu kundi la Kumkwamisha Mhe. Rais Samia Suluhu Hassan 2025.
Uraia wake wahojiwa Kwa kutumia jina la mama yake kama jina la baba.
Mjumbe wa mkutano Mkuu Taifa wa Chama Cha Mapinduzi CCM Kassim Gogo amemuonya Mbunge wa Geita Vijijini Joseph Msukuma kwa kutumia vibaya zoezi la kuwapanga Vizuri Machinga kugombanisha na kujenga uhasama Kati ya Machinga na Serikali yao.
Mjumbe huyo amemuelezea Mbunge Msukuma Kama adui hatari mwenye sura mbili ambapo amesema Msukuma na wenzake wanajificha kwenye mwavuli wa Zoezi la Chanjo, Kuwapanga Machinga na Dini kupenyeza ajenda zao za Chuki dhidhi ya Serikali ili kukwamisha jitiada za Rais Samia Suluhu Hassan 2025 ili wamuweke Rais wao.
Aidha Gogo ameviomba Vyombo vya Usalama kuanza kuchunguza uraia wa Msukuma kutokana na uraia wake kuwa wa Mashaka.
Pamoja na hayo Gogo amempongeza Rais Samia Suluhu Hassan kwa busara kubwa aliyoitumia Kwenye maelekezo ya Kuwapanga Vizuri Machinga.
Daha hahaha huyu Gogo kweli ni Gogo. Yaani kutetea watu wa chini kimaisha ni usaliti. Mbona Mama mwenyewe yupo na msukuma. Kama mnataka kuthibitisha kuwa mama ni Dkt Magufuli fikirieni kauli yake ya chanjo
MSUKUMA ASHUKIWA NA MJUMBE WA MKUTANO MKUU CCM TAIFA.
_____________________________________
Amwambia Lengo lake ni kugombanisha Machinga na Serikali.
Atajwa kuratibu kundi la Kumkwamisha Mhe. Rais Samia Suluhu Hassan 2025.
Uraia wake wahojiwa Kwa kutumia jina la mama yake kama jina la baba.
Mjumbe wa mkutano Mkuu Taifa wa Chama Cha Mapinduzi CCM Kassim Gogo amemuonya Mbunge wa Geita Vijijini Joseph Msukuma kwa kutumia vibaya zoezi la kuwapanga Vizuri Machinga kugombanisha na kujenga uhasama Kati ya Machinga na Serikali yao.
Mjumbe huyo amemuelezea Mbunge Msukuma Kama adui hatari mwenye sura mbili ambapo amesema Msukuma na wenzake wanajificha kwenye mwavuli wa Zoezi la Chanjo, Kuwapanga Machinga na Dini kupenyeza ajenda zao za Chuki dhidhi ya Serikali ili kukwamisha jitiada za Rais Samia Suluhu Hassan 2025 ili wamuweke Rais wao.
Aidha Gogo ameviomba Vyombo vya Usalama kuanza kuchunguza uraia wa Msukuma kutokana na uraia wake kuwa wa Mashaka.
Pamoja na hayo Gogo amempongeza Rais Samia Suluhu Hassan kwa busara kubwa aliyoitumia Kwenye maelekezo ya Kuwapanga Vizuri Machinga.
Mkiona VIP tupo tayari kujitenga kutengeneza nchi yetu ya kuanzia Tabora, Shinyanga, Bariad,Mwanza ,Mwanza Kama mnasema msukuma sio mtanzania Basi tupeni hyo mikoa tuwe na nchi yetu kwanza mmetuulia mtu wetu tuna machungu Makubwa mno msiwaone akina msukuma, Gwajima, Makonda, wako kimya wanna machungu mno na hao waliouza gesi ya mtwara kisa kumkomboa R1 Basi lakin Mwaka 2025 hatuwa kura kanda ya ziwa Na Hilo limaushungi lenu