Kassim Gogo: Msukuma sio raia wa Tanzania, yeye na genge lake wanaandaa mtu wao kuwa rais 2025

Kilichowakumba hasa kina Msukuma ni kutokukubali ukweli kuwa Magufuli hayupo. Waliweka imani zao zote juu ya utawala wa milele wa Magufuli kiasi kwamba wakasahau kuwa kuna Mungu na pia ana mipango yake.

Ni swala la wakati tu watazoea ukweli kuwa Jiwe hayupo na wataanza kuimba mapambio ya Kizanzibari. Msije kustaajabu huko mbeleni mkasikia lafudhi ya Msukuma imekuwa kama ya kipemba katika kujikomba kwa mama.

On a side note, CCM waliamini kuwa wakiwa peke yao serikalini mambo yatakuwa mepesi, cha ajabu leo hii wananyukana wenyewe kwa wenyewe. Na bado, tutaona na kusikia mengi.
 
Chama kilicho laaniwa. Kila mtu ataongea lugha yake ili msielewane
Wote hawa ni watu hatari kwa nchi yetu. Wanawazia matumbo yao tu. Mpaka watu wajinga kama hawa watakapoondolewa kwenye siasa ndiyo nchi yetu itapata maendeleo.
 
Mkiona VIP tupo tayari kujitenga kutengeneza nchi yetu ya kuanzia Tabora, Shinyanga, Bariad,Mwanza ,Mwanza Kama mnasema msukuma sio mtanzania Basi tupeni ...
Ingieni upinzani mjenge nchi na kubadilidha katiba, CCM sio mama yenu ni chama tuu cha siasa, kama kinazingua unatafuta mbadala maisha yanaendelea
 
Mkiona VIP tupo tayari kujitenga kutengeneza nchi yetu ya kuanzia Tabora, Shinyanga, Bariad,Mwanza ,Mwanza Kama mnasema msukuma sio mtanzania Basi ...
Kumbe ni kweli nia yenu ni kukigawa chama mwaka 2025,

Ndio maana mnamchonganisha Rais wa Machinga?

But hamtaweza kama alishindwa Lowassa nyie msahau kabisa,
 
Ingieni upinzani mjenge nchi na kubadilidha katiba, CCM sio mama yenu ni chama tuu cha siasa, kama kinazingua unatafuta mbadala maisha yanaendelea
CCM bado iko sana count down 100 yrs ahead,

Hivi vyama mgogoro vikipata pesa wanaanza kugawana never ever
 
Well Serikali haiwezi kuepuka lawama ni Sera mbovu zilizotufikisha hapa na ni mwendelezo wa Sera mbovu utakaotufikisha pabaya zaidi.

LAKINI Kuendelea na Ubovu sio kutatua tatizo bali ni kulilea Tatizo Kuanza leo ni bora kuliko kesho sababu kila siku zinavyopita ugumu ndio unazidi

Badala ya watu kufikiria ni vipi njia ya kuwaokoa watu ili waishi kama binadamu wanaongelea ni vipi wataendelea kula keki ya taifa au na wenyewe kuingia kwenye ulaji..., In Short wote hao hakuna wa afadhali...
 
Asilimia 40 ya kura zinatoka Kanda ya ziwa tulikuwa tunaiunga ccm kwa sababu ya heshma ya Magufuli lakin tulishachoka miaka Mingi iliyopita wapinzani wajiandae kuchukua kura nyingi 2025 ila wanatakiwa walete mtu makini tyuu sio walopokaji tyuu, tunataka mtu wa kazi
 
CCM ni CHAMA,

Watapotea kwenye ramani ya siasa ,

wengine wamefungua madarasa ya Utawala topic ni maagizo ya Rais Samia

Tutawanyoa kwa chupa bila ganzi,
 
Akili zingine shida kweli, hivi Msukuma ana uwezo wa kumkwamisha rais? Ndiyo maana mnaamini waganga wa kienyeji wasio soma hata darasa moja.
 
Baada ya kifo cha yule mzinza wa Chato sukumagang sasa wanatapatapa
 
Huyo babu Gogo ndio sio raia. Anadai sio raia je, ilikuwaje akachaguliwa kuwa mwenyekiti wa CCM mkoa wa Geita kabla ya kuwa mbunge?

Ikishafikia hatua watu waanza kuhoji uraia wa mtu basi ujue hao ni majambazi yamekabwa vibaya.

Huyo babu Gogo anatakiwa ashughulikiwe kisayansi inaonesha ana nongwa namfitini namba moja
 
Kumbe ndio yule jamaa wanamwandaa,

Alikuwa huko kwa Msukuma kwa ziara ndefu tunawazoom tu

Chondechonde msituharibie chama,
 
Huyo gogo ni mtu wa hovyo sana, anauona wapi huo udini kwa msukuma, msukuma kushauri juu nini kifanyike anaita ni mbinu za uraisi, Yaani msukuma awe raisi wa nchi hii, hivi gogo unatuonaje watanzania?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…