Kassim Gogo: Msukuma sio raia wa Tanzania, yeye na genge lake wanaandaa mtu wao kuwa rais 2025

Kuna mganga yupo Morogoro ni jamaa yangu kabisa kuna siku Magufuli alienda kwake kwa mambo ya kitaalamu(Hii ni kweli kabisa sio hadithi ya uongo na ya kutunga)...basi mtaalamu akamwambia mh una vita kubwa sana katika chama chako na wanaokupinga na kukuhujumu ni wengi sana tofauti na wanaokuunga mkono wengi wanakupaka mafuta tu kwa mgongo wa kichwa na akamchana live opportunity ya wewe ya kuendelea kuishi ni ndogo sana kuwa makini na siku hiyo alienda kwa huyo mtaalamu na moja ya watu ambao wamo kwenye kundi la ukosoaji wa serikali iliyopo madarakani kwa sasa aliyekuwa na cheo kikubwa tu chamani by then...nadhani hapa kuna sumu wanapenyezeana baina ya kundi lile lililokuwa chini ya Marehemu na hili la sasa
 
Huyo mjumbe wa CCM hana akili...

Hakuna haja ya Msukuma kuichonganisha Seriakali na Wamachinga, Tayari Hao wamachinga hawamtaki Samia Suluhu
Anasema Msukuma anatumia Jina la Mama Yake.. Kutumia Jina la mama sio kosa nadhani hata Bosi wa Mamalaka ya viwanja vya ndege anatumia jina la mama(Johari)
 
Aisee hizi ni taarifa za kweli ndugu yangu?
Kama ndio hivyo tulipigwa na kama nchi tuna safari ndefu sana kufikia maendeleo ya kweli!
Usiniulize kwanini!
 
Aisee hizi ni taarifa za kweli ndugu yangu?
Kama ndio hivyo tulipigwa na kama nchi tuna safari ndefu sana kufikia maendeleo ya kweli!
Usiniulize kwanini!
Kwanini mkuu!!..au mambo ya waganga!??...Hakuna kiongozi yeyote wa nchi hii ambaye hajawahi kwenda kwa waganga au kutumia waganga ktk kurahisisha ishu zake
 
CCM bado iko sana count down 100 yrs ahead,

Hivi vyama mgogoro vikipata pesa wanaanza kugawana never ever
Kuna watu wezi kama CCM? vyama ni watu tuu kama wewe na mimi, upinzani mzuri wenye nguvu inawezekana na unakuja na ungeshakuja zamani tuu ila CCM wezi wa kura
 
Daha hahaha huyu Gogo kweli ni Gogo. Yaani kutetea watu wa chini kimaisha ni usaliti. Mbona Mama mwenyewe yupo na msukuma. Kama mnataka kuthibitisha kuwa mama ni Dkt Magufuli fikirieni kauli yake ya chanjo
Unajipa moyo tu.
 
CCM wanaendelea kupigana za uso wao kwa wao...
 
Jibizaneni chapaneni na uwaneni ila Mzimu wa baba wa Taifa utaitesa ccm na mizizi yake nilazima mga2ane fito huwo ndio ukweli
 
Kwa akili ya ukubwa wa kisoda hivi kati ya wanaosemea kutetea machinga na wanaosubiria usiku wa manane ili kuvizia na kuharibu vibanda na mali za machinga yupi anamharibia mh Rais SSH kwa kumchonganisha na Wamachinga na Mungu wa Mbinguni? Nani kati ya hawa anajina la mgombea wa Urais 2025 kupitia CCM mfukoni kwake?

Ingekuwa jambo zuri kama Bwana Gogo atateuliwa kujaza nafasi iliyo wazi ya unaibu wa Waziri wa uwekezaji. Watu wenye mitazamo ya Gogo wawe wengi wa kumzunguka na kumshauri Rais ili taifa hili lipae kwenye maendeleo njozi. Nasikia IMF wameshanyanyua bendera kuhusu hali ya uchumi wa Tanzania. Matunda ya hotuba kule UN tunaanza kuyashuhudia kidogo kidogo.
 
Rubbish.
 
Amejiua mwenyewe kwa kushindana na corona!
 
Vita ya Urais 2025 ni ngumu sana, hasa unapokumbuka Rais ndio mwenyekiti wa kikao cha kupitisha jina la Mgombea.
Na anajipitisha mwenyewe kuwania urais, kwa kusisitiza anasema mgombea ni mmoja ili amalize muhura
 
Maneno ya huyu Gogo, jaribu kuyaweka katika lugha ya kichina na uimagine - mjumbe wa kamati kuu ya mkutano mkuu wa chama cha kikomunisti cha China akiwa anayasema hayo kuhusu kiongozi mwenzake katika chama hicho!!! Tanzania, hao ndio viongozi wetu tunao wategemea kutuletea maendeleo!
 
Mbona huyu Gogo mwenyewe ni mrundi mhamiaji, namjua sana.
 
Leo hii msukuma nae aitwe ofisi za uhamiaji ? Kweli maisha yanakwenda kasi.
 
Ni lile genge la wasukumaji, washughulikiwe.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…