Kassim Gogo: Msukuma sio raia wa Tanzania, yeye na genge lake wanaandaa mtu wao kuwa rais 2025

Aiseee,

Wewe ni mchonganishi,
 
Fimbo ya uraia inatumika na chama changu cha CCM huku ikifahamu namna ilivyopiga vita ubaguzi na hila za kutumia kabila la mtu, rangi yake na utaifa kama fimbo ya kisiasa.

Ifike mahala hawa wapinzani uchwara waachane na siasa za vichakani, tunashindwa kupata mbadala wa CCM kwa sababu wapinzani wapo bize kushusha handles, kuinuana na kupiga spana huku wakielea na boti ya udongo ya spaces
 


Hawa wanahangaika bure,

Rais 2021-2030 tayari yupo na ndio Mkt wa Chama,

Mimi nadhani niheri kujipanga 2030 otherwise wataliwa vichwa ndio watajua umuhimu na ukubwa wa CCM,
 
Wachovu wameanza kuhangaika, wanatafuta kukumbukwa kwenye teuzi.
Inawezekana kweli: gogo ni muongo tu lbd mchicha umemchosha,kuhusu kaburi la baba wa msukuma hata Kama hajafa lzm awe na kaburi? Maana msukuma bado ni kijana hivyo baba kuwa hai inawezekana,gogo aache kumgombanisha rais,makala na msukuma.
 

1. Unadhani ni nani mwenye haki ya kuweka raisi anayemtaka kwa mjibu wa katiba ya Jamhuri ya Muungano wa Tanzania?

2. Ni kigezo gani umetumia kugundua kwamba uraia wa huyu mtu unautata?

3. Unaweza kutuambia alipitaje michakato ya michujo hadi akawa mbunge wakati si mtanzania? Kwa hili bado unaamini kwamba ccm ni chama makini iwapo kinaweza kutupa mtu bila kumfahamu uraia wake, aingie kwenye chombo cha kutunga sheria za nchi?

4. Unaweza kutufafanulia ni kwa namna gani huyu Msukuma anamkwamisha Rais?

5. Unajua kwamba unakiuka katiba ya nchi kufanya kampeni za kisiasa kabla ya muda ?
 
Vita ya Urais 2025 ni ngumu sana, hasa unapokumbuka Rais ndio mwenyekiti wa kikao cha kupitisha jina la Mgombea.
Sasa kuna ugumu gani hapo

Si anapitisha jina lake tu
 
Mtajuana wenyewe



 
Saivi ukihoji sana na kukosoa una bambikiwa kesi au unaanza kuchunguzwa Uraia wako kwahio ina maana Viongozi wetu wanajua kua Watanzania hawanaga tabia ya Kuhoji kabisa??
Akihoji Tu anakua sio Raia wa nchi hii kwasababu DNA ya kitanzani Viongozi wanaijua ni KASUKU๐Ÿ˜‚๐Ÿ˜‚๐Ÿ˜‚๐Ÿ˜‚
 
CCM wanatuona mazezeta wote yani hatuwezi kuhoji
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn moreโ€ฆ