Kassim Majaliwa ameshindwa kumsaidia Rais?

Kassim Majaliwa ameshindwa kumsaidia Rais?

Status
Not open for further replies.
Waziri mkuu Kassim Majaliwa amekuwa ni mtu mwenye kauli zenye makeke mengi lakini outcome ni kidogo sana.

Leo hii rais anazungumzia kuhusu madudu bandarini, lakini ikumbukwe kuwa yeye siyo wa kwanza kugundua madudu ya huko, infact hata Kassim Majaliwa kipindi cha Magufuli anrwahi kugundua ufisadi wa huko, na mbele ya Camera akaonyesha kukasirishwa sana na yanayotendeka huko. Je mbona madudu huko bandarini yanaendelea?
Je Majaliwa anataka milage ya kisiasa aonekane anafanya kazi lakini kumbe hakuna cha maana kinachoendelea?

Waziri Mkuu amewahi kutoa kauli za kuwajibishwa wale wote waliotajwa katika ripoti ya CAG, Je ni hatua gani zilichukuliwa, iweje leo rais aagize Takukuru kuchukua hatua wakati ni. jukumu lao?

Waziri mkuu amewahi kutueleza juu ya uchunguzi wa kuungua soko la kariakoo, Je ripoti iko wapi?, Nani anahusika na ni nani keshafikishwa mahakamani?

Mbona utendaji kazi wa Waziri mkuu kwenye Camera ni mkubwa kuliko. matunda halisi ya makeke yake tunayoyaona daily kwenye TV?

Je hii Tabia ambayo waziri mkuu aliianza ya kusema Samia ataendelea hadi mwaka 2035 ililenga kumfanya Samia asimuone kama mshindani wake wa kimyakimya na hivyo kurelax juu ya utendaji wake wa kazi(PM)?

Haiwezekani vitu vinapanda bei kila kukicha halafu waziri mkuu yuko yuko tu, haya ndiyo mambo tuliyopaswa kumuona waziri mkuu anahaingaika. Yuko wapi waziri mkuu kutoa briefings kwa umma juu ya mikakati ya kila siku ya serikali kupambana kupunguza ukali huu wa maisha?
Huyu ndo alifaa kuwa Rais sio huyu mama
 
Huyo cheki bobu, uswahili mwingi
 
Yeye ndiye Dereva wa lile gari bovu lililoharibikia awamu ya tano na sasa anataka kulinokisha injin kabisa awamu hii ya sita. " JPM yuko ofisini anachapa kazi"!!!! Kumbe.......!

Yaani huyu PM ni mnafiki (ingawa wote ni wanafiki tu) wa kiwango cha lami. Maza anapaswa kuwa makini nae au kumpiga chini kabisa.
 
Kama kuna madudu yalitokea wakati wa awamu ya tano, na huyu Majaliwa ndiye aliyekuwa mtendaji wa shughuli za kila siku za serikali, unamuachajeachaje katika hiyo nafasi?

Kwa sababu naona Majaliwa ni mkoromeaji zaidi kuliko kuwa mtatuzi wa mambo.

Anafanya kazi mbele ya Camera sana na outcome ni ndogo.

Kwanza hakupigiwa kura na wananchi.
Na ili asipigiwe kura, kuna uhuni mkubwa ulifanyika huko jimboni kwake wa kuenguaengua washindani wake. Sasa ni vigumu pia kujua kuwa huyu PM ana mandate ya wananchi.
 
Utendaji wa Mamlaka za serikali unategemeana katika kufanyakazi usipo jua utaona Waziri Mkuu kuwa hamsaidii Rais lakini sio kweli. Kuna mambo mengi ambayo Serikali wameyafanya kupitia Waziri Mkuu..Tuache kelele ili Kazi Iendelee
 
Waziri mkuu yupo busy na ziara zisizo na manufaa labda kwa wengine mnaziona.

President mwenyewe ni safari nje ndani na hii ni Maana halisi ya Kazi iendelee.
Sio kweli tumeshuhudia manufaa ya Safari za nje kwa kuongeza uwekezaji juzi tu Rais ameshuhudia utiwaji wa saini kwa kampuni kubwa za uchimbaji madini ambapo Kutakuwa na muture benefits Kati ya wawekezaji na Watanzania
 
Namshauri mama avunje baraza la mawaziri aanze upya...kuna team magufuri hii ndio inamnyima usingizi mama yetu...
Avunje halafu ajaze akina malope ndiyo rangi zitakuwa angavu zaidi,kazi kuwangia watu,mtoeni tuone.
 
Hoja ya kuwa Waziri Mkuu anaonekana sana kwenye TV.. unajisaurisha kuwa Waziri Mkuu ndio Mtendaji wa kila siku wa shughuli za serikali lazima ataonekana katika matukio mengi sababu ni mtendaji
 
TLS walimshauri na kutoa waraka unaothibitisha ushauri wao umo katika mafungamano ya katiba inambidi aunde baraza jipya la mawaziri. Yeye akaendelea na baraza alilorithi. Pengine alikuwa anasubiria wakati mzuri sijui.

Anachonishangaza analia lia jambo ambalo naona ni upuuzi. Kama yeye haiwezi hiyo kazi awape watu hizo kazi yeye asubiri matokeo tu.
Shida ni huo Uwaziri Mkuu lakini na lengo ni kunyong'onyesha utendaji uliotukuka wa Waziri Mkuu ili mpate Mianya ya kupita. Chini ya Majaliwa utendaji wa Serikali wa kila siku upo salama
 
Status
Not open for further replies.
Back
Top Bottom