Mto wa mbu
JF-Expert Member
- Aug 8, 2021
- 2,228
- 3,045
Haiwezekani kivip Kwan kavunja SheriaUkiachana na Nyerere aliyekuwa PM halafu Rais hakuna mwingine aliyewahi kufanya hivyo.
PM ana status karibia na Rais hivyo haiwezekani akawa na Top position kwa 15 years.
Majaliwa hiyo nafasi imemponyoka
Majaliwa ndio nilimuona kimbere mbere mno akatwambia Magufuli kajenga viwanda 4000. Mshenzi muongo sana huyu.Kwanini utaka viwanda vya magufuli akuoneshe Majaliwa? Samia kakuonesha mbona humuulizi VP wake?
Ndugai anafaa zaidi ya Kassim.Kuondoka kwa JPM na kuingia Madarakani kwa Rais SSH kwa Maana rahisi ni Kwamba Kama Taifa tumepoteza uwezekano wa Waziri Mkuu Kassim Majaliwa kuja kuwa Rais wa JMT .
Kwa Haraka haraka ndiye alikuwa Genuine choice after JPM akiachana dosari ndogo nogo za kisiasa .
Tutachomokaje kama Taifa kumpata mtu mzalendo ,mwenye maamuzi magumu na kiongozi bora kama Kassim Majaliwa baada ya Muda wa Mama kuisha ?
Au tuvunje Utaaratibu uliozoleka ?
Kwa Umoja party au CCM ?Ndugai anafaa zaidi ya Kassim.
nani kakuambia kuwa magu alikuwa na mpango wa kutoka madarakani? acha kujadili vitu ambavyo visingewezekana.Kuondoka kwa JPM na kuingia Madarakani kwa Rais SSH kwa Maana rahisi ni Kwamba Kama Taifa tumepoteza uwezekano wa Waziri Mkuu Kassim Majaliwa kuja kuwa Rais wa JMT .
Kwa Haraka haraka ndiye alikuwa Genuine choice after JPM akiachana dosari ndogo nogo za kisiasa .
Tutachomokaje kama Taifa kumpata mtu mzalendo ,mwenye maamuzi magumu na kiongozi bora kama Kassim Majaliwa baada ya Muda wa Mama kuisha ?
Au tuvunje Utaaratibu uliozoleka ?
Asingetoka kwa katiba ipi ?nani kakuambia kuwa magu alikuwa na mpango wa kutoka madarakani? acha kujadili vitu ambavyo visingewezekana.
Tehetehe bleach .....Kassimu hawez kuingia madarakan labda samia afe
Zamu ya wavaa kobaz na kassim n mvaa kobaz n ngumu
Kama atavumilia kupaka bleach kichwan Hadi 2040 ili azibe mvi itawezekana
Sent from my TECNO F1 using JamiiForums mobile app
Tangia aliposema JpM anachapa kazi ilhari anajua yuko mortuary sina hamu naye tena!!Kuondoka kwa JPM na kuingia Madarakani kwa Rais SSH kwa Maana rahisi ni Kwamba Kama Taifa tumepoteza uwezekano wa Waziri Mkuu Kassim Majaliwa kuja kuwa Rais wa JMT .
Kwa Haraka haraka ndiye alikuwa Genuine choice after JPM akiachana dosari ndogo nogo za kisiasa .
Tutachomokaje kama Taifa kumpata mtu mzalendo ,mwenye maamuzi magumu na kiongozi bora kama Kassim Majaliwa baada ya Muda wa Mama kuisha ?
Au tuvunje Utaaratibu uliozoleka ?
na aliposema walioangalia Mazishi ya mwendazake kupitia LIVE wafikia Bilioni 6 Duniani koteKwa katiba yetu ni ngumu sana kumlaumu Waziri mkuu huku kuna Rais hata hivyo walijitahidi kwa kiasi Chake .
Kbsa Yaan tuachame tu na mma yetu mnk mam hajui kitu anadanganywa tu na kina mwigulu yaani mbna burkinafaso wanapindua serekali na Chad Hilo na hakuna mpuuz anaoji ojiHivi hatuwezi kufanya kitu,tukatengeneza historia kwenye nchi hii?
Mi naamini inawezekana, kichwani hapo anatakiwa mwanaume
Tena mapema sna hata baada ya bunge la bajeti apewe tu katelephoni tuone na yey anasera gani Kam atakuwa na geng la kina mwiguluKassim kwa njia yoyote ile anatakiwa apokee kijiti
S jiwe ndio alikuwa Ana mpelekeshaWaziri mkuu muongo mno kuwahi kutokea, viwanda 4000 vya Magufuli kwanza, viko wapi. Kizazi cha hovyo acheni kuongozwa na njaa.
Hilo haiwezi kumfanya asiwe rais Nani Hana makosa yake binfsi ila mm Nina Imani Sana na katelephoni yaani anaweza kutusaidia angalau duh mam huyu hpn leave kweli Ni ovyo kulikoni dah juz nilifanya picha yake baada tu ya kuonaMajaliwa kuwa rais?. Huyu mwenye roho mbaya ya kinyama awe rais wa nchi gani?
Akiwa DC wa Urambo aiwafanyia unyama wafugaji waliokuwa kwenye pori la hifadhi.
2020 alipita bila kupingwa kwa kuwateka wapinzani wake jimboni.
Majaliwa hafai. Ni mwongo mwongo Sana. Alitudanganya Magufuli anachapa kazi kumbe kafa.
Sasa Nani was kututoa Happ Nani apewe kijiti mpngo ndio kbsa viazi Nani tumbebeshe zigo hiliUkiachana na Nyerere aliyekuwa PM halafu Rais hakuna mwingine aliyewahi kufanya hivyo.
PM ana status karibia na Rais hivyo haiwezekani akawa na Top position kwa 15 years.
Majaliwa hiyo nafasi imemponyoka
Napita taratibuKuondoka kwa JPM na kuingia Madarakani kwa Rais SSH kwa Maana rahisi ni Kwamba Kama Taifa tumepoteza uwezekano wa Waziri Mkuu Kassim Majaliwa kuja kuwa Rais wa JMT .
Kwa Haraka haraka ndiye alikuwa Genuine choice after JPM akiachana dosari ndogo nogo za kisiasa .
Tutachomokaje kama Taifa kumpata mtu mzalendo ,mwenye maamuzi magumu na kiongozi bora kama Kassim Majaliwa baada ya Muda wa Mama kuisha ?
Au tuvunje Utaaratibu uliozoleka ?
Wakati ule ilikuwa CCM ya JPM na Tanzania ya JPM vivyo hivyo.Kwani ilikuwa "Tanzania ya Magufuli" au Tanzania ya Samia?