hebu tuwe serious kidogo na mambo ya kitaifa, yaaani eti .... awe rais..... hiiiiiiiiKuondoka kwa JPM na kuingia Madarakani kwa Rais SSH kwa Maana rahisi ni Kwamba Kama Taifa tumepoteza uwezekano wa Waziri Mkuu Kassim Majaliwa kuja kuwa Rais wa JMT .
Kwa Haraka haraka ndiye alikuwa Genuine choice after JPM akiachana dosari ndogo nogo za kisiasa .
Tutachomokaje kama Taifa kumpata mtu mzalendo ,mwenye maamuzi magumu na kiongozi bora kama Kassim Majaliwa baada ya Muda wa Mama kuisha ?
Au tuvunje Utaaratibu uliozoleka ?