mjingamimi
JF-Expert Member
- Aug 3, 2015
- 42,209
- 51,004
Magufuli mzima anachapa KAZI.
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Sio Watanzania wote ni wewe na wenzako wachache .Naona watanzania wote kwa Pamoja wamekubali majaliwa fiksi kibao hatufai.
Mzee Mdee kaingiaje hapa ?Mzee mdee anatosha
kwa taarfa yako magu asingetoka madarakani! alishakuwa akina m7 na kagame tayari!Asingetoka kwa katiba ipi ?
Majaliwa kuwa rais?. Huyu mwenye roho mbaya ya kinyama awe rais wa nchi gani?
Akiwa DC wa Urambo aiwafanyia unyama wafugaji waliokuwa kwenye pori la hifadhi.
2020 alipita bila kupingwa kwa kuwateka wapinzani wake jimboni.
Majaliwa hafai. Ni mwongo mwongo Sana. Alitudanganya Magufuli anachapa kazi kumbe kafa.
Daaah huu sasa utani na mchezo wa hekaya!!Kuondoka kwa JPM na kuingia Madarakani kwa Rais SSH kwa Maana rahisi ni Kwamba Kama Taifa tumepoteza uwezekano wa Waziri Mkuu Kassim Majaliwa kuja kuwa Rais wa JMT .
Kwa Haraka haraka ndiye alikuwa Genuine choice after JPM akiachana dosari ndogo nogo za kisiasa .
Tutachomokaje kama Taifa kumpata mtu mzalendo, mwenye maamuzi magumu na kiongozi bora kama Kassim Majaliwa baada ya Muda wa Mama kuisha ?
Au tuvunje Utaaratibu uliozoleka ?
Rais wa nchi gani? Labda wa jamiiforums! Yaani mtadanganywa kupita kiasi, maana jamaa ni muongo wa kupindukia. Na ninyi watanzania kwa kusahau? Yaani mmeshasahau alivyosema Magufuli ni haumwi ana rundo la mafaili wakati keshafariki au hamkumbuki alivyosema kuwa mazishi ya Magufuli yameangaliwa mtandaoni na watu Billioni 3 halafu kesho yake akasema wataongezeka wafikie Billioni 4? Hapo kweli Majaliwa
Kassim kwa njia yoyote ile anatakiwa apokee kijiti
😂😂😂😂 itakuwa poa tuThis time tunataka Rais muhindi/Patel ambaye ni mzawa
SafiMaja President
Aweso Waziri Mkuu
Asome ripoti ya moto kariakoo na Ile ya polisi kuua na kuiba pesa kule mtwara na aombe radhi Kwa Ile kauli yake juu ya afya ya Magufuli kuwa yupo ofisini wakati alikuwa kwenye box la ice.Kuondoka kwa JPM na kuingia Madarakani kwa Rais SSH kwa Maana rahisi ni Kwamba Kama Taifa tumepoteza uwezekano wa Waziri Mkuu Kassim Majaliwa kuja kuwa Rais wa JMT .
Kwa Haraka haraka ndiye alikuwa Genuine choice after JPM akiachana dosari ndogo nogo za kisiasa .
Tutachomokaje kama Taifa kumpata mtu mzalendo, mwenye maamuzi magumu na kiongozi bora kama Kassim Majaliwa baada ya Muda wa Mama kuisha ?
Au tuvunje Utaaratibu uliozoleka ?
Sawa kila mtu ana mawazo yake .Asome ripoti ya moto kariakoo na Ile ya polisi kuua na kuiba pesa kule mtwara na aombe radhi Kwa Ile kauli yake juu ya afya ya Magufuli kuwa yupo ofisini wakati alikuwa kwenye box la ice.
Hafai kuwa hata mjumbe wa mtaa Kwa kushindwa kuisimamia uchafuzi ule wa 2019 na 2020 ambao yeye ni zao la ufedhuli na uwendawazimu Ile!
Hana msaada Kwa rais aliyepo ni kama ana mgomo baridi hivi!
Naona timu kassim ipo kazini! Product ya Magu haiji kupewa ikulu ya nchi hii asilani! Mbona mna uchoro hivi enyi chawa? Nchi hii inahitaji rais kijana na siyo hiyo jamii ya wapaka piko! Ajenge kiwanda Cha piko Kwa matumizi yake itatosha!Kuna namna inbidi kuangalia aisee
Puguza hasira mkuuNaona timu kassim ipo kazini! Product ya Magu haiji kupewa ikulu ya nchi hii asilani! Mbona mna uchoro hivi enyi chawa? Nchi hii inahitaji rais kijana na siyo hiyo jamii ya wapaka piko! Ajenge kiwanda Cha piko Kwa matumizi yake itatosha!
Urais siyo vitumbua au maandazi ya hitma ambayo hugawiwa Kwa Kila aliyehudhuria! Urais haujaribiwi na kuwa PM Haina maana kuwa anatoshea kuwa rais! Hana sifa.Sawa kila mtu ana mawazo yake .