Sawa mkuuUrais siyo vitumbua au maandazi ya hitma ambayo hugawiwa Kwa Kila aliyehudhuria! Urais haujaribiwi na kuwa PM Haina maana kuwa anatoshea kuwa rais! Hana sifa.
Mwambie atosheke na nafasi aliyonayo na muda wake ukiisha abaki nyumbani na wajukuu.