Relief Mirzska
JF-Expert Member
- Jun 13, 2017
- 13,992
- 22,396
Usisahau mkuu, Mungu ni wetu sote sio wa Chadema peke yao. Halafu Mungu hataki siasa tupambaneni Sisi kwa Sisi msikimbilie kwa MunguNgoja tusubiri tuone kati yake yeye na Mungu, nani Fundi.
Wacha mama aendelee kutawala,maana ndugu zangu wa Kanda ya ziwa walizidi mashauzi,Wafe tuu watatupunguzia kero mitandaoni
Kwani akitoka kwenye makabila hayo kuna shida gani kama ni mtu sahihi?Wacha mama aendelee kutawala,maana ndugu zangu wa Kanda ya ziwa walizidi mashauzi,
Hii nchi Bora Raisi atoke jamii nyingine asiwe msukuma,mhaya,mnyakyusa,mchaga,Mhita,mkulya,
Maana haya makabila yameenea kila sekta,
Mzee mbona Ana HARAKA ? KWANINI TUSISUBIRI AMALIZE na Pia Tusubiri UTARATIBU wa VIKAO vya CHAMA?Majaliwa anataka Kutuambia Iwe isiwe lazima Samia awe Rais Wa Nchi Kwa Miaka 10 ijayo?
===========
Kassim Majaliwa: Nataka kuwahakikishia tena, Serikali yenu iko makini na maam yetu kwenye eneo hili anaendelea kutenda haki. Leo miezi sita tu, ana miaka mitano tutamjumlishia miaka mitano mingine, bado ana nafasi ya kufanya sana. Hii miaka mitano anayokwanda nayo, sasa hivi bado tunafahamishana fahamishana tu lazima kila mtu ajue filosofi ya mama ni nini!
Atamaliza, tutamuongezea miaka mitano mingine kwa utamaduni wa chama cha Mapinduzi, Mama Samia lazima apate kipindi chake kama marais waliotangulia.
View attachment 1954361
Umepaniki mfLabda wewe na bibi yako ndio huchanganyikiwa
Dirisha la kinyan'ganyiro cha urais kupitia CCM limefungwa. Waliokuwa wapejipanga 2025 wavute subira hadi 2030. Baadhi yao watakuwa wamevuka ile kitu inaitwa"sell by ......." Yaaniwatakuwa wamesha-expire.Approximately to 10 mkuu hahaha, hamna wa kushindana na mwenyekiti wa CCM, hilo sahau!! Tumaini pekee kama tungekuwa na upinzani imara, siyo huu upinzani tulionao sasa!! Hao wazalendo uchwara wakitupiwa tumifupa kidogo tu utashangaa kama ni wao, wataturn 180 degrees
Kula na kipofu usimpapase mkono.Majaliwa anataka Kutuambia Iwe isiwe lazima Samia awe Rais Wa Nchi Kwa Miaka 10 ijayo?
===========
Kassim Majaliwa: Nataka kuwahakikishia tena, Serikali yenu iko makini na maam yetu kwenye eneo hili anaendelea kutenda haki. Leo miezi sita tu, ana miaka mitano tutamjumlishia miaka mitano mingine, bado ana nafasi ya kufanya sana. Hii miaka mitano anayokwanda nayo, sasa hivi bado tunafahamishana fahamishana tu lazima kila mtu ajue filosofi ya mama ni nini!
Atamaliza, tutamuongezea miaka mitano mingine kwa utamaduni wa chama cha Mapinduzi, Mama Samia lazima apate kipindi chake kama marais waliotangulia.
View attachment 1954361
Majaliwa Sio Jah The Almighty. Urais ni opportunity cost katika siasaHuo ndio ukweli,tunaweza mfikilia kuwa pm again
Majaliwa anataka Kutuambia Iwe isiwe lazima Samia awe Rais Wa Nchi Kwa Miaka 10 ijayo?
===========
Kassim Majaliwa: Nataka kuwahakikishia tena, Serikali yenu iko makini na maam yetu kwenye eneo hili anaendelea kutenda haki. Leo miezi sita tu, ana miaka mitano tutamjumlishia miaka mitano mingine, bado ana nafasi ya kufanya sana. Hii miaka mitano anayokwanda nayo, sasa hivi bado tunafahamishana fahamishana tu lazima kila mtu ajue filosofi ya mama ni nini!
Atamaliza, tutamuongezea miaka mitano mingine kwa utamaduni wa chama cha Mapinduzi, Mama Samia lazima apate kipindi chake kama marais waliotangulia.
View attachment 1954361
Hahaha, ni kweli!! Hata wanaotarajiwa sana wanaweza wakavurunda hapa kati na wasisafishike kabisa come 2030Dirisha la kinyan'ganyiro cha urais kupitia CCM limefungwa. Waliokuwa wapejipanga 2025 wavute subira hadi 2030. Baadhi yao watakuwa wamevuka ile kitu inaitwa"sell by ......." Yaaniwatakuwa wamesha-expire.
Mwl. Bashiru Hana Time na MtuManeno hayo ya Majaliwa yatawaumiza sana kina Polepole,Bashiru, Musukuma, Gwajima na kikundi chao.
Majaliwa lazima tumtupie huko kwenye upresda atake asitakeMajaliwa anataka abadili kasumba kuwa Waziri Mkuu hawezi kuwa Rais... Ila Nina hakika kufikia 2025 CCM watamuomba huyu Bwana agombee na Mama akae pembeni
Wakati mtu kanyongea kabisa halafu unasema hana time! Nina uhakika anatamani kile kipande cha kuanzia alipoteuliwa kuwa katibu mkuu wa CCM hadi CS kifutike kimiujiza kwenye historia ya maisha yake maana kinamtia simanzi kwa kuchafua taswira yake aliyoijenga kwa miaka mingi.Mwl. Bashiru Hana Time na Mtu
Namjua Maana Nimefanya nae Kazi Mzumbe, Anaishi Maisha yake, Jamaa Ni Mjamaa AswaaWakati mtu kanyongea kabisa halafu unasema hana time! Nina uhakika anatamani kile kipande cha kuanzia alipoteuliwa kuwa katibu mkuu wa CCM hadi CS kifutike kimiujiza kwenye historia ya maisha yake maana kinamtia simanzi kwa kuchafua taswira yake aliyoijenga kwa miaka mingi.