min -me
JF-Expert Member
- Jul 20, 2022
- 61,672
- 178,673
Anaogopa tutamteka😆Code za Nini? Unaogopa kumtaja?
Anaogopa tutamteka😆Code za Nini? Unaogopa kumtaja?
KatelefoniCode za Nini? Unaogopa kumtaja?
Diblo aha ha ha aYule jamaa wa Superblack kumbe alinyimwa Fomu , yaani alichofanya ni mchezo wa sungura wa sizitaki mbichi.
Duu, we unaishi wapi?? Mgeni?? Yaani ndo unajua leo???Yule jamaa wa Superblack kumbe alinyimwa Fomu , yaani alichofanya ni mchezo wa sungura wa sizitaki mbichi.
Nangojea mbuzi wa kafala mpaka sasa ila sidhani akiwa majaliwa kwa nafasi yakeTaarifa za kuaminika inaonesha yeye pia alishiriki ktk mbio za kumsabotage Mama kizimkazi. Ndio maana hata msibani hajaonekana….!
Baada ya Simu za Kaka yake kukamatwa na kuchunguzwa inaonesha walikuwa na mawasiliano ya karibu saana kuanzia mipango ya sakata la oct 29.
Hivyo hata yeye simu zake zimeshikiliwa na amewekwa chini ya ulinzi mkali mpaka hadi mnyororo wote ukamilike……!
Tume ya jinai itakuja na majina ambayo hatutaamini….!
MjaneTume ya jinai imeundwa na nani?
Yupo,lakini kakatwa mkia nayeye anashaa kama sisi!Ajaonekana hata msibani hajaonekana
Baada ya Simu za Kaka yake kukamatwa na kuchunguzwa inaonesha walikuwa na mawasiliano ya karibu saana kuanzia mipango ya sakata la oct 29.
Hivyo hata yeye simu zake zimeshikiliwa na amewekwa chini ya ulinzi mkali mpaka hadi mnyororo wote ukamilike……!
Tume ya jinai itakuja na majina ambayo hatutaamini….!
Anatafutwa mtu wa kuangushiwa jumba bovu?Nangojea mbuzi wa kafala mpaka sasa ila sidhani akiwa majaliwa kwa nafasi yake
MjaneTume ya jinai imeundwa na nani?