GE2025 Kassim Majaliwa atangaza ghafla kutogombea tena Ubunge wa Jimbo la Ruangwa

Matukio, Taarifa, Habari na Mijadala ya Wananchi WAKATI wa Mchakato wa Uchaguzi Mkuu 2025
Ajaonekana hata msibani hajaonekana

Baada ya Simu za Kaka yake kukamatwa na kuchunguzwa inaonesha walikuwa na mawasiliano ya karibu saana kuanzia mipango ya sakata la oct 29.

Hivyo hata yeye simu zake zimeshikiliwa na amewekwa chini ya ulinzi mkali mpaka hadi mnyororo wote ukamilike……!

Tume ya jinai itakuja na majina ambayo hatutaamini….!
 
Nangojea mbuzi wa kafala mpaka sasa ila sidhani akiwa majaliwa kwa nafasi yake
 
Yupo,lakini kakatwa mkia nayeye anashaa kama sisi!
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…