Kassim Majaliwa enzi za Magufuli alikuwa akiogopwa kama radi, wa sasa anapuyanga tu

Yaani wewe humuogopi hata mungu aise!! Unaogopa binadamu mwenzako. Kumbuka wizi ni dhambi tamaa za kuhonga mademu hapa duniani utatolea hesabu siku ya mwisho na utachomwa Moto na huo Moto ni wa milele. Sasa chagua kumuogopa mungu au binadamu. Kumbuka maisha tunayoishi ni mafupi kwenye biblia imeandikwa ni Miaka 70 na ikizidi happy basi ni hiruma ya mungu tu. Mnadanganyana tu eti kuna kutubu. Haiwezekani ndugu yangu kutubu ni swaga za kibinadamu tu ili kuharalisha dhambi. Mungu hatambui tobaa hata kidogo hasa unapofanya makusudi na ki ukweli hakuna dhambi ya bahati mbaya.
 
Pm Majaliwa alidanganya umma wazi wazi kabisa tena akiwa msikitini

NB: Sijawahi kumuamini Pm Majaliwa since day one anashika hiyo nafasi ni mtu asiye na weledi ,kazi inayo mfaa ni kuzindua gereza

"Ukuu hujenga heshima"
 
Shida sio kivuli kupinda mkuu, mti umeuwona lakini unavyokaribia kugusa chini.
 
Bora na Majaliwa wa kasia lile
 
Kiswawadu watu walimdharau tangu alipoongopa kuwa jamaa anapiga kazi kumbe yuko cold room kitambo
Sasa kwa akili yako ulitegemea aseme nini juu ya afya ya raisi? Mimi nimewahi kuuguza na mgonjwa akafariki nikawakuta shangazi zangu nje ya hospital wakaniulizia maendeleo ya baba yao nikawajibu hali yake inatia moyo tu ila wakati huo kashafariki,kifo hakielezwi elezwi tu ovyo kuna namna yakuelezea
 
Huwezi kuongoza nchi watu milioni 60 kama familia binafsi. Mambo ya kuogopa mtu mmoja ya wawili ni ushamba na porojo za kupoteza muda kama maigizo tu. Nchi inatakiwa ijiendeshe kwa mifumo na kitaasisi.
 
Hakua anaogopwa yeye bali bosi wake.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…