Kassim Majaliwa: Hadi kufikia kipindi cha Ramadhan sukari itakuwepo nchini

Andika kiswahili ueleweke, ku export sukari toka nje maana yake nini?
Acha lugha usiyoijua.
Ku import toka nje siyo ku export toka nje.
 
Huu ni uzembe ambao wajinga tuu wanafurahia kauli kama hizi. Yaani waziri mkuu anatoa tangazo Kama hili. Eti hadi Ramadan, nchi inaangalia dini kufanya wajibu wake? Wameshindwa kuwajibika wasijitetee kwa kutaja ramadhan.
Maza si mtu wa ijumaa
 
Hapa tuna hasara taslimu kama Taifa
 
Na Bora aendelee kupaka Pico Kwa maana angeacha mvi angekuwa anaboa zaidi hasa Kwa anayo ongeaga.
 
Hii maana yake ni kwamba kipindi cha Ramadhan I sugar itashuka bei..baada ya hapo tabu itakuwa palepale.
 
Acheni/punguzeni matumizi ya sukari

Lasivyo mtakuwa watumwa maisha

Yenu yote

Ova
 
Kwa akili hizi za PM, ndio maana Makonda alimpa ultimatumn ya miezi SITA apeleke ripoti ofisini kwake.
 
Kwanini isubirie mpaka Ramadhani??

Aache udini wake huyo mapiko.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…