Kassim Majaliwa: Meneja wa TANESCO na wenzake wasimamishwe hadi uchunguzi ukamilike

Kassim Majaliwa: Meneja wa TANESCO na wenzake wasimamishwe hadi uchunguzi ukamilike

Analogia Malenga

JF-Expert Member
Joined
Feb 24, 2012
Posts
5,108
Reaction score
10,191
Waziri Mkuu Kassim Majaliwa, amemuagiza Waziri wa Nishati Dkt. Medard Kalemani asiishie kuwasimamisha kwa siku kumi tu Meneja wa TEHAMA wa TANESCO na Wasaidizi wake, bali wakae pembeni hadi hapo uchunguzi zaidi utakapokamilika.

Jamaa imekula kwao. Nyundo juu ya nyundo. Hawawezi kubakishwa hapo, mwisho wa siku watahamishwa wasiwepo kabisa TANESCO
 
Watoke kabisa ujinga walioufanya ni wa hovyo sana
 
Labda ni njia mbadala ya kuahirisha changamoto zinazolikabili shirika

Dr merdard kalemani , PhD naye asimamishwe. Tanesco imemshinda

  1. Mapema mwaka huu MD alijitokeza na kusema maji bwawani Mtera ni mengi sana yanakaribia kuzidi limits za bwawa
  2. Siku chache baadaye umeme ukaanza kukatikakatika wakaja na sababu kuwa kuna chuma kimesagika hakikuwa kinafanyiwa lublication
  3. Baadaye tena wakasema chuma kimeagizwa nje bado kinachongwa kitafika nchini mwezi wa nne
  4. Juzi wamekuja na excuse ya mifumo, hivi kweli shirika kubwa namna hiyo, wananunua magari ya 400M ya kutembelea viongozi halafu washindwe kununua backup machines!!
 
Asilimia 95 ya maengineer wa shirika la umeme tanesco ni wazee wenye miaka 55-60 . Wanafanya kazi kwa mazoea na uzoefu bila kujali, na hawako tayari kuajiri maengineers vijana . Shirika hili linahitaki lifumuliwe vinginevyo SGR ikianza watamaliza watanzania kabisa.mwenyekiti wa bodi ya TANESCO naye amejisahau pamoja na bodi yake.0689877735 huyu ndiye tatizo kubwa TANESCO mtafuteni . Mkimuondoa mmefanikiwa na umeme utafungwa kila mahali tanzania. Na hautazima tena.
 
kumekucha jamaa kaweka hadi namba duu
 
Hiyo namba ni muhimu, TANESCO tumeichoka. Kila wakati wakitusumbua tutaweka namba zao Jf .
 
PM usipunguze speed hata kidogo ku deal na wazembe,wapigaji....
Ile speed yako wakati wa Magu endelea nayo...
tunakutegemea sana....
 
Back
Top Bottom