peno hasegawa
JF-Expert Member
- Feb 24, 2016
- 14,255
- 23,949
Maza hii nchi akicheza nayo itamshinda.
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
ATHANASIUS NANGALIAsilimia 95 ya maengineer wa shirika la umeme tanesco ni wazee wenye miaka 55-60 . Wanafanya kazi kwa mazoea na uzoefu bila kujali, na hawako tayari kuajiri maengineers vijana . Shirika hili linahitaki lifumuliwe vinginevyo SGR ikianza watamaliza watanzania kabisa.mwenyekiti wa bodi ya TANESCO naye amejisahau pamoja na bodi yake.0689877735 huyu ndiye tatizo kubwa TANESCO mtafuteni . Mkimuondoa mmefanikiwa na umeme utafungwa kila mahali tanzania. Na hautazima tena.
Naamini hiyo ni kumtwisha zigo Waziri bure bure. Hizo issue nyingine ni too technical, Mkurugenzi Mkuu ndiyo alitakiwa kuyaelewa haya.Nonsense, how comes the minister was not aware that Tanesco has no offsite backup for billing/payment? Wote walitakiwa kuondoka, sema tu nchi hii tumerithi mambo na tawala za uonevu.
Shirika la Tanesco limejaa ukiritimba sana mwaka 2018 waliita vijana na kuwafanyia interview kitengo Cha mikataba na hakuna ambaye ameitwa kwenye ajira Mpaka sasa , huku ni kuwanyima haki vijana kupata ajira.Asilimia 95 ya maengineer wa shirika la umeme tanesco ni wazee wenye miaka 55-60 . Wanafanya kazi kwa mazoea na uzoefu bila kujali, na hawako tayari kuajiri maengineers vijana . Shirika hili linahitaki lifumuliwe vinginevyo SGR ikianza watamaliza watanzania kabisa.mwenyekiti wa bodi ya TANESCO naye amejisahau pamoja na bodi yake.0689877735 huyu ndiye tatizo kubwa TANESCO mtafuteni . Mkimuondoa mmefanikiwa na umeme utafungwa kila mahali tanzania. Na hautazima tena.
SHirika liko wilaya zote nchini ,ila ajira zake hata NGO zinawashinda.Shirika la Tanesco limejaa ukiritimba sana mwaka 2018 waliita vijana na kuwafanyia interview kitengo Cha mikataba na hakuna ambaye ameitwa kwenye ajira Mpaka sasa , huku ni kuwanyima haki vijana kupata ajira.
Inashangaza sana Kuwaita vijana nchi nzima halafu unasitisha mchakato.SHirika liko wilaya zote nchini ,ila ajira zake hata NGO zinawashinda.
Namba yake ya simu tumeiweka hapo ili mtambue mtumishi wa shirika hilo ambaye ni msumbufu,ofisini hakai,site haonekani, miradi mipya ameikalia mezani haifanyiki wala hajui itafanyika lini,maintance kwa line za zamani haifaniki,nguzo za tanesco zimejazwa kwenye ofisi za tanesco wateja hawapewi,wateja wanaotakiwa kufungiwa umeme bila kununua nguzo hawapewi umeme wanaambiwa waone wakuu wa wilaya, REA wanaweka transformers ndogo ambazo hazina uwezo wa kuzalisha umeme wa kiwanda kikubwa, shirika linaelekea kusikia.
Mameneja wa TANESCO mikoa yote na wilaya zote sasa ni wazee na hawana mpango wa kuwaanda vijana kulitumikia shirika hilo.Shirika la Tanesco limejaa ukiritimba sana mwaka 2018 waliita vijana na kuwafanyia interview kitengo Cha mikataba na hakuna ambaye ameitwa kwenye ajira Mpaka sasa , huku ni kuwanyima haki vijana kupata ajira.
🤣kumekucha jamaa kaweka hadi namba duu
Hili la back-up lilistahili kuchukuliwa kwa uzito mkubwa maana umeme ni muhimu sio tuu kwa maisha ya kawaida bali kwa uchumi mpana kwa ujumla. Mfumo wa back-up ulitakiwa uwe na uwezo wajuu wa kuhimili changamoto za mahitaji ya ununuzi wa umeme.Labda ni njia mbadala ya kuahirisha changamoto zinazolikabili shirika
- Mapema mwaka huu MD alijitokeza na kusema maji bwawani Mtera ni mengi sana yanakaribia kuzidi limits za bwawa
- Siku chache baadaye umeme ukaanza kukatikakatika wakaja na sababu kuwa kuna chuma kimesagika hakikuwa kinafanyiwa lublication
- Baadaye tena wakasema chuma kimeagizwa nje bado kinachongwa kitafika nchini mwezi wa nne
- Juzi wamekuja na excuse ya mifumo, hivi kweli shirika kubwa namna hiyo, wananunua magari ya 400M ya kutembelea viongozi halafu washindwe kununua backup machines!!
Nilisikia kuwa mifumo yote ya serikali inasimamiwa na eGA cha kushangaza ni kwamba eGA bao hawakulijua hilo!!!?Mfumo wa back-up ulitakiwa uwe na uwezo wajuu wa kuhimili changamoto za mahitaji ya ununuzi wa umeme.