Analogia Malenga
JF-Expert Member
- Feb 24, 2012
- 5,108
- 10,191
Dr merdard kalemani , PhD naye asimamishwe. Tanesco imemshindaWaziri Mkuu Kassim Majaliwa, amemuagiza Waziri wa Nishati Dkt. Medard Kalemani asiishie kuwasimamisha kwa siku kumi tu Meneja wa TEHAMA wa TANESCO na Wasaidizi wake, bali wakae pembeni hadi hapo uchunguzi zaidi utakapokamilika.
Dr merdard kalemani , PhD naye asimamishwe. Tanesco imemshinda
Sio kila ktu rais hatoe tamko mengine anawachia wasaidizi wakeTHANK YOU PRIME MINISTER!
Wako baadhi ya watu wanafikiri fault inapotokea inamuhusu Mh. Rais pekee, wanasahau ya kwamba faults huangukia mfumo mzima wa uongozi.
kumekucha jamaa kaweka hadi namba duuAsilimia 95 ya maengineer wa shirika la umeme tanesco ni wazee wenye miaka 55-60 . Wanafanya kazi kwa mazoea na uzoefu bila kujali, na hawako tayari kuajiri maengineers vijana . Shirika hili linahitaki lifumuliwe vinginevyo SGR ikianza watamaliza watanzania kabisa.mwenyekiti wa bodi ya TANESCO naye amejisahau pamoja na bodi yake.0689877735 huyu ndiye tatizo kubwa TANESCO mtafuteni . Mkimuondoa mmefanikiwa na umeme utafungwa kila mahali tanzania. Na hautazima tena.
hakuna kucheka na mbwa hata kidogo,watu walipata ujasiri wa kumjaribu jpm na ukali ule,mama anaona utani!!!!!Hotep Hotep.
Mambo yameanza kuiva, SASHA si wakuchezewa
Wabutue wazembe hao PM usiwaache Lakini nadhani hao ni makusudi......Waziri Mkuu Kassim Majaliwa, amemuagiza Waziri wa Nishati Dkt. Medard Kalemani asiishie kuwasimamisha kwa siku kumi tu Meneja wa TEHAMA wa TANESCO na Wasaidizi wake, bali wakae pembeni hadi hapo uchunguzi zaidi utakapokamilika.
Ni wakati sasa TANESCO iongozwe na tume ya nishati kama ilivyo tume ya madini. Au TANESCO iwe chini ya ofisi ya RaisHiyo namba ni muhimu, TANESCO tumeichoka. Kila wakati wakitusumbua tutaweka namba zao Jf .