Kassim Majaliwa ni mzizi mrefu chini ya ardhi

TumainiEl

JF-Expert Member
Joined
Jan 13, 2010
Posts
6,782
Reaction score
12,716
Hotuba ya mkuu wa taifa na yale tunayaona wenye akili tunajuwa Majaliwa ni mzizi mrefu sana chini ya Ardhi.

Huenda muda utajibu haya niyasemayo, ila fuatilia uteuzi wa Pinda na kabla ya uteuzi wake.

Kwa wale wazee wakusoma msg zinazojifuta mtakumbuka kabla ya uteuzi wa Lowassa Jina la Pinda lilikuwa katika list ya watu wakuwa waziri mkuu na hata baada ya Lowassa Jina lake likarudi na akawa Waziri mkuu Hadi mwisho.

Inaonekana Mh. Majaliwa ni Pinda wa sasa na huenda si rahisi kama vile tunavyofikiri. Hizi ni salama Kwa wale naona mnadhani Majaliwa hatoshi au mnafikiri itakuwa Rahisi kumng'oa pasipo sababu za msingi.

Nimalizie kwa kusema huu ni mzizi mrefu chini ya Ardhi na huenda kutaka kuung'oa mtachimba shimo refu sana linalowezafukia wengi.

Tuzidi pongeza Rais na Bunge kwa kuturudishia Majaliwa.

Asante
 
Ooooh vipi tena mbio za kuutaka Zimeanza?
 
Mataga mmeanza kuvurugana wenyewe kwa wenyewe baada ya kujikuta wenyewe uwanjani.
 
The next president,Magufuli anamuandaa kwa kumfanyisha extra drill.
 
Hotuba ya mkuu wa taifa na yale tunayaona wenye akili tunajuwa Majaliwa ni mzizi mrefu sana chini ya Ardhi.

Huenda muda utajibu haya niyasemayo, ila fuatilia uteuzi wa Pinda na kabla ya uteuzi wake.

Kwa wale wazee wakusoma msg zinazojifuta mtakumbuka kabla ya uteuzi wa Lowassa Jina la Pinda lilikuwa katika list ya watu wakuwa waziri mkuu na hata baada ya Lowassa Jina lake likarudi na akawa Waziri mkuu Hadi mwisho.

Inaonekana Mh. Majaliwa ni Pinda wa sasa na huenda si rahisi kama vile tunavyofikiri. Hizi ni salama Kwa wale naona mnadhani Majaliwa hatoshi au mnafikiri itakuwa Rahisi kumng'oa pasipo sababu za msingi.

Nimalizie kwa kusema huu ni mzizi mrefu chini ya Ardhi na huenda kutaka kuung'oa mtachimba shimo refu sana linalowezafukia wengi.

Tuzidi pongeza Rais na Bunge kwa kuturudishia Majaliwa.

Asante
Majaliwa ni Timu Kikwete , ni ndugu wa Salma na aliwekwa kwa ushawishi wa JK ili kulinda maslahi ya wakubwa ya gesi ya Mtwara , niliwahi kuandika humu wakati wa uchaguzi wa 2015 wakati watu wanajiuliza nani kuwa PM , hana mizizi yoyote na ni mwepesi kuliko pamba , ana uzuri mmoja , huwa ana heshima sana kwa waliomteua , ndio maana Jiwe hakumtoa , lakini kwa awamu hii analindwa na Msoga tu
 
duh
 
Back
Top Bottom