Kassim Majaliwa njia moja kwenda kuwa Makamu Mwenyekiti wa CCM Taifa baada ya Steven Wasira

Kassim Majaliwa njia moja kwenda kuwa Makamu Mwenyekiti wa CCM Taifa baada ya Steven Wasira

chiembe

JF-Expert Member
Joined
May 16, 2015
Posts
20,711
Reaction score
31,331
Namuona Khassim Majaliwa akirudishwa kwenye chama halafu 2030 akagombee nafasi nyeti kabisa ya kitaifa
 
mawazo mengine sijui mnayatoa wapi? Yaani Majaliwa awe Rais?
 
Namuona Khassim Majaliwa akirudishwa kwenye chama halafu 2030 akagombee nafasi nyeti kabisa ya kitaifa
Hiyo nayo ni possibility, but i doupt since history ya hii nchi wengi wanaotumikia nafasi hizo hawaendi nafasi ya juu
 
Back
Top Bottom