Uchaguzi 2020 Kassim Majaliwa: TAKUKURU hakikisheni wanasiasa hawanunui wapiga kura kwenye uchaguzi mkuu!

johnthebaptist

JF-Expert Member
Joined
May 27, 2014
Posts
97,869
Reaction score
171,716
Waziri mkuu mh Majaliwa amewataka Takukuru kuhakikisha inawashughulikia wanasiasa wanaorubuni wapiga kura au kununua uongozi katika uchaguzi mkuu.

Mh Majaliwa amesema Takukuru iwashughulikie watu hao bila kujali iumaarufu wao.

Chanzo: ITV habari!
 
Source ITV habari!
Wmenunuliwa wajumbe wa CCM hatukuona TAKUKURU wala Takodogo, Leo mnamdanganya nani kuhusu taasisi isiyo na meno?
 
Waziri mkuu mh Majaliwa amewataka Takukuru kuhakikisha inawashughulikia wanasiasa wanaorubuni wapiga kura au kununua uongozi katika uchaguzi mkuu.

Mh Majaliwa amesema Takukuru iwashughulikie watu hao bila kujali iumaarufu wao.

Source ITV habari!
 
Attachments

  • IMG-20200811-WA0001.jpg
    IMG-20200811-WA0001.jpg
    68.9 KB · Views: 1
Huyo PM akae kimya tu, wananchi walishaamka siku nyingi. Hizo porojo akawahadithie watu wa huko jimboni kwake ndio wanamsubiri yeye awaambie. Yeye aweke ile ripoti hadharani ya ajali ya gari la mafuta huko Morogoro.
 
Waziri mkuu mh Majaliwa amewataka Takukuru kuhakikisha inawashughulikia wanasiasa wanaorubuni wapiga kura au kununua uongozi katika uchaguzi mkuu.

Mh Majaliwa amesema Takukuru iwashughulikie watu hao bila kujali iumaarufu wao.

Chanzo: ITV habari!
Isipokuwa ujambazi na kutekana ruhsa kipindi hiki cha uchaguzi.
 
Waziri mkuu mh Majaliwa amewataka Takukuru kuhakikisha inawashughulikia wanasiasa wanaorubuni wapiga kura au kununua uongozi katika uchaguzi mkuu.

Mh Majaliwa amesema Takukuru iwashughulikie watu hao bila kujali iumaarufu wao.

Chanzo: ITV habari!
TAKUKURU waanze na yeye kwa kumnunua mzee Bakari Nampenya na kumuweka kwenye Bodi ya NCAA.
 
Kuna watu watakuja kutukana huu ujumbe wa PM siasa uchwara ni mbaya Sana.
 
Wenyewe walianza kununua wanasiasa tangu 2017 ,wanataka wao tu ndo wahonge 🤣
 
Waziri mkuu mh Majaliwa amewataka Takukuru kuhakikisha inawashughulikia wanasiasa wanaorubuni wapiga kura au kununua uongozi katika uchaguzi mkuu.

Mh Majaliwa amesema Takukuru iwashughulikie watu hao bila kujali iumaarufu wao.

Chanzo: ITV habari!
Ila ni rukhusa kufanya figisu ili apite bila kupingwa ?
 
Waziri mkuu mh Majaliwa amewataka Takukuru kuhakikisha inawashughulikia wanasiasa wanaorubuni wapiga kura au kununua uongozi katika uchaguzi mkuu.

Mh Majaliwa amesema Takukuru iwashughulikie watu hao bila kujali iumaarufu wao.

Chanzo: ITV habari!
TAKUKURU waanze na Makonda. Kushindwa isiwe sababu ya kukwepa mkono wa sheria kwa makosa aliyofanya
 
Back
Top Bottom