johnthebaptist
JF-Expert Member
- May 27, 2014
- 97,869
- 171,716
Wmenunuliwa wajumbe wa CCM hatukuona TAKUKURU wala Takodogo, Leo mnamdanganya nani kuhusu taasisi isiyo na meno?Waziri mkuu mh Majaliwa amewataka Takukuru kuhakikisha inawashughulikia wanasiasa wanaorubuni wapiga kura au kununua uongozi katika uchaguzi mkuu.
Mh Majaliwa amesema Takukuru iwashughulikie watu hao bila kujali iumaarufu wao.
Source ITV habari!
Waziri mkuu mh Majaliwa amewataka Takukuru kuhakikisha inawashughulikia wanasiasa wanaorubuni wapiga kura au kununua uongozi katika uchaguzi mkuu.
Mh Majaliwa amesema Takukuru iwashughulikie watu hao bila kujali iumaarufu wao.
Source ITV habari!
Isipokuwa ujambazi na kutekana ruhsa kipindi hiki cha uchaguzi.Waziri mkuu mh Majaliwa amewataka Takukuru kuhakikisha inawashughulikia wanasiasa wanaorubuni wapiga kura au kununua uongozi katika uchaguzi mkuu.
Mh Majaliwa amesema Takukuru iwashughulikie watu hao bila kujali iumaarufu wao.
Chanzo: ITV habari!
TAKUKURU waanze na yeye kwa kumnunua mzee Bakari Nampenya na kumuweka kwenye Bodi ya NCAA.Waziri mkuu mh Majaliwa amewataka Takukuru kuhakikisha inawashughulikia wanasiasa wanaorubuni wapiga kura au kununua uongozi katika uchaguzi mkuu.
Mh Majaliwa amesema Takukuru iwashughulikie watu hao bila kujali iumaarufu wao.
Chanzo: ITV habari!
"Ongeza sauti kidogo"TAKUKURU waanze na yeye kwa kumnunua mzee Bakari Nampenya na kumuweka kwenye Bodi ya NCAA.
Ila ni rukhusa kufanya figisu ili apite bila kupingwa ?Waziri mkuu mh Majaliwa amewataka Takukuru kuhakikisha inawashughulikia wanasiasa wanaorubuni wapiga kura au kununua uongozi katika uchaguzi mkuu.
Mh Majaliwa amesema Takukuru iwashughulikie watu hao bila kujali iumaarufu wao.
Chanzo: ITV habari!
TAKUKURU waanze na Makonda. Kushindwa isiwe sababu ya kukwepa mkono wa sheria kwa makosa aliyofanyaWaziri mkuu mh Majaliwa amewataka Takukuru kuhakikisha inawashughulikia wanasiasa wanaorubuni wapiga kura au kununua uongozi katika uchaguzi mkuu.
Mh Majaliwa amesema Takukuru iwashughulikie watu hao bila kujali iumaarufu wao.
Chanzo: ITV habari!