Kassim Majaliwa: Ujenzi Bwawa la Nyerere unaendelea kwa kasi

Nipo huku Ila kwa jinsi ujenzi unavyoendelea ingawa Mimi si mhandisi Ila ngoma bado mbichi, ningetupia kapicha Ila naogopa kujiingiza matatizoni
Kama kuna mtu yupo huko kwenye mradi naomba atuthibitishie kama ni kweli.
 
Wale wanao endeshwa na mizuka ambao hawajui hali ya nyuma ilikuwaje utawasikia"Hamna huo haukuwa ufisadi na awamu za nyuma zilikuwa zinapata hati safi ".

Ndio maana usishangae waki hype humu, ila legacy ya Magu inafahamika,muda si mrefu wataanza kuongea yale yale ya Magu ni swala muda sasa hivi wana chuki na mizuka.

Uzuri JF ni kama maktaba wakati ukifika tutakapo anza kulia kama awamu ile ya Mkwere " Rais dhaifu,hafanyi maamuzi magumu.....nchi ipo kwenye auto-pilot........" tutarudi hapa kuchambua kimoja kimoja ndipo tutajua umuhimu wa Magu.Mimi najua wanajua potential ya Magu ila ndio wameamua kujitoa ufahamu ni swala la muda tu ila asante kwa kutukumbusha ya nyuma.

Rip Magu.
 
PM anapaswa awe mkali sana ktk kipindi hiki na awe mfuatiliaji wa karibu miradi ya serikali, lkn pia waziri mkuu akiwa kama Kiranja Mkuu tunamuomba aongeze ukali kwa watendaji wote walio chini yake maana ripoti ya CAG inathibitisha ukosefu wa ufuatiliaji wa karibu.

Mawaziri, Manaibu waziri, Makatibu wakuu pamoja na watendaji wengine wote wasipo simamiwa kwa umakini baadhi yao sio waadilifu.
kamwe kisiwe na nafasi ya kuchekeana au kuoneana aibu, yeyote akiburunda toa tupa kulee.,
 
Watu wanamuandama CAG bila sababu ya msingi. CAG yeye kazi yake nia kupitia miradi kutazama kama kuna matumizi mabaya hata iwe milioni 20 katika mradi wa tilioni ataandika kuwa milioni 20 imepigwa.
Yeye alichoakiandika ni kwamba mradi umefanyika kwa feasibility study ya mwaka 1989 (if not mistaken) hajasema hauna maslahi kwa taifa. Ni sawa leo ujenge nyumba kwa kutumia ramani ramani ya mwka 1989 haimaanisha hutokaa utakaa utafaidika lakini huenda isikidhi vizuri mahitaji ya sasa.
Sasa kosa lake ni nini hapo. Yeye kaandika alichogundua kama hamtaki kusikia ukweli basi tufuten ofisi yake.
Kinuju
 
MATAGA BWANA AKA MATANGA
 
Nilipenda sana majaliwa awe rais ila basi tu,ikiwa mama ssh atagombea 2025 atakuwa ameharibu hesabu zake,majaliwa ni mtu safi sana na ninamkubali sana huyu mtu.

Mungu amsidie iwe kama ninavyomuombea
 
Nilipenda sana majaliwa awe rais ila basi tu,ikiwa mama ssh atagombea 2025 atakuwa ameharibu hesabu zake,majaliwa ni mtu safi sana na ninamkubali sana huyu mtu.

Mungu amsidie iwe kama ninavyomuombea
Majizi chadema wataficha wapi sura zao
 
Ndiyo umejengwa sasa
 
Nchi ikiwa na watu 10 tu kama wewe lazima iwe nchi ya mwisho duniani, watu kama wewe china lazima mnyongwe
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…