Kassim Majaliwa: Ujenzi Bwawa la Nyerere unaendelea kwa kasi

Nipo huku Ila kwa jinsi ujenzi unavyoendelea ingawa Mimi si mhandisi Ila ngoma bado mbichi, ningetupia kapicha Ila naogopa kujiingiza matatizoni
Amini nakwambia huo mradi haufiki popote, bush boy hawezi fanya jambo lenye tija mwa nchi, siyo ramli ila kaa tujipe muda wa mwaka mmoja tu
 
Jamaa kafa lakin kuna watu bado pepo lake liko kichwani mwao, wew ni mmoja wao kama siyo Taga
 
Nilipenda sana majaliwa awe rais ila basi tu,ikiwa mama ssh atagombea 2025 atakuwa ameharibu hesabu zake,majaliwa ni mtu safi sana na ninamkubali sana huyu mtu.

Mungu amsidie iwe kama ninavyomuombea
Tapeli kama matapel mengine aina ya Mataga, hana tofauti na bashite sema kidogo kwenye majivuno bashite yuko juu
 
Jamaa kafa lakin kuna watu bado pepo lake liko kichwani mwao, wew ni mmoja wao kama siyo Taga
Sawa nyinyi tuna waelewaga mpo kama sigara kali MNAWASHWA MBELE NA NYUMA aka bendera fuata upepo.

Ni swala la muda tu.
 
Umemaliza yani
 
Bwawa linajengwa kwa kasi sasa ili ukome kabisa.
Mbona tayari nimeshakoma!!kwa ripoti hii ya CAG, ??!!!kwani kwa ukali ule wa jamaa ckutegemea kabisa kama kuna weza kuwa na upigaji kiasi hiki!!
 
Ila huyu ana historia ya kutokuwa mkweli
 
Unaridhika kwa wizi??
Kwanza umeridhika wewe na nani??
 
Nilimsikiliza Muhongo dalali wa gesi yetu na moja kati ya watu walioigawa gesi yetu bure akiuponda huu mradi nikasema ndio maana tupo nyuma kimaendeleo kama tuliongozwa na watu wa namna ile
Ndio maana Hayati Rais Magufuli aliwahi kusema,"Maprofessor wengi wako vizuri theoretically sio practically". Nimeamini aisee.
 
Mwambieni Waziri Mkuu Majariwa wanyonge tunataka kusikia anawakata ngebe wanaotaka mradi wa bandari ya Bagamoyo uendelee mradi wa kifisadi wa ambao ni kichaa tu anayeweza kukubali masharti yake
Mimi mwenyewe naomba tu Mwenyezi Mungu aingilie Kati awape viongozi wetu Hekima na mwono wa mbali.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…