Now and then
JF-Expert Member
- Dec 19, 2024
- 613
- 1,729
Ukiachana na rafu uliyomchezea kafulila Ila nakushauri usigombee Ubunge .
Miaka kumi Kama waziri Mkuu inatosha Sana .
Miaka kumi Kama waziri Mkuu inatosha Sana .
HahahaUkiachana na rafu uliyomchezea kafulila Ila nakushauri usigombee Ubunge .
Miaka kumi Kama waziri Mkuu inatosha Sana .
Hasikii, anaenda kukutana na fedheha, amesahau kuwa yeye alikuwa wa Magufuli. Sijui viongozi wetu huwa wanapokuwa madarakani huwa hawanusi hatari ya kudhalilika mbeleni, kiashiria cha kwanza kilikuwa kuletewa msaidizi bado jitu halielewiUkiachana na rafu uliyomchezea kafulila Ila nakushauri usigombee Ubunge .
Miaka kumi Kama waziri Mkuu inatosha Sana .
Samahani ndugu mwandishi, kuna kitu natamani kukijua kwa ila naishia juu juu.Ukiachana na rafu uliyomchezea kafulila Ila nakushauri usigombee Ubunge .
Miaka kumi Kama waziri Mkuu inatosha Sana .
Yasije mkuta ya Malecela alipigwa chini na kibajajUkiachana na rafu uliyomchezea kafulila Ila nakushauri usigombee Ubunge .
Miaka kumi Kama waziri Mkuu inatosha Sana .
Wewe ndo Major Liwa?😄😄😄Kwa nini nisigombee wakati nataka kuendeleza utajiri wangu , ndaishije bila kuajiriwa. Mnataka nirudu kufundisha
Alivyo natamaa hivyo ataacha?Ukiachana na rafu uliyomchezea kafulila Ila nakushauri usigombee Ubunge .
Miaka kumi Kama waziri Mkuu inatosha Sana .
Hawa watu wanatamaa sn hawezi kuachaYasije mkuta ya Malecela alipigwa chini na kibajaj
Miaka 10 ya uwaziri mkuu inatosha.Akapumzike hana cha kupoteza sababu atakipwa mafao ya uwaziri mkuu mstaafu hela ndefu maisha yake yote na mwenza wake
Vizuri kuwapa nafasi pia watu wengine na kumpa nafasi Raisi atafute waziri mkuu wake
Mbaya zaidi ana watoto wengi wadongoMzee alivyo na uroho wa madaraka hawezi kukusikiliza chawa WA mama huyo
PM mstaafu aishije baada ya kustaafu? Anakua chini ya uangalizi wa serikali mpaka anaingia kaburini iwe masuala ya afya, malazi, safari nk na bado anaokota 80% ya mshahara wa pm aliepo madarakani. Iwe tamaa tu lakini upm ni kati ya vyeo ukivikamata wewe njaa unaisahau mpaka unafukiwa ardhiniKwa nini nisigombee wakati nataka kuendeleza utajiri wangu , ndaishije bila kuajiriwa. Mnataka nirudu kufundisha
😁😁😁Thubutu... Lazima nigombee
PM mstaafu aishije baada ya kustaafu? Anakua chini ya uangalizi wa serikali mpaka anaingia kaburini iwe masuala ya afya, malazi, safari nk na bado anaokota 80% ya mshahara wa pm aliepo madarakani. Iwe tamaa tu lakini upm ni kati ya vyeo ukivikamata wewe njaa unaisahau mpaka unafukiwa ardhini