#COVID19 Kassim Majaliwa: Wanaopinga chanjo ni wale ambao hawajaguswa na corona kwenye familia

Analogia Malenga

JF-Expert Member
Joined
Feb 24, 2012
Posts
5,108
Reaction score
10,191
Waziri Mkuu, Kassim Majaliwa amesema wanaopinga chanjo ya #COVID19 hawajaguswa na virusi hivyo katika familia zao, wakiguswa watatafuta chanjo.

Amesisitiza chanjo sio lazima lakini ni muhimu. Wataalamu waliotumika kuchunguza chanjo ni wataalamu wa ndani ambao hawawezi kutaka kuwauza watu wao.

Pamoja na hayo, Waziri Mkuu amesema njia nyingine ziendelee kutumika ikiwemo kula vizuri na kufanya mazoezi na kupata chanjo kwa waliotayari kupata.
 
Dawa zote zina maelezo juu ya side effects, sijajua kwa chanjo, kama zina taarifa za side effects. Sasa kama chanjo ina side effects, kwa nini chanjo hii haina maelezo ya side effects ili hiari ya mtu iwe informed?

Hao wataalam wameona kila kilichomo kwenye chanjo? Je walii-test vipi?
 
chanjo zote ulizowahi chanja unajua side effects zake?
 
Hawa wanaopinga chanjo hutumoa vigezo gani hasa?

Mana kama hadi toothpicks ni made in China then wanatokea wapuuzi eti wanahisi mzungu amewategea kwenye chanjo ya Corona?

Then upuuzi mwengine ni pale tusio na taaluma za kitabibu pia tumekua wataalam wa chanjo.
 
Hawa wanaopinga chanjo hutumoa vigezo gani hasa? Mana kama hadi toothpicks ni made in China then wanatokea wapuuzi eti wanahisi mzungu amewategea kwenye chanjo ya Corona? Then upuuzi mwengine ni pale tusio na taaluma za kitabibu pia tumekua wataalam wa chanjo.
Mpiga chanjo no 1 alikuwa nini yeye enzi za marehemu
 
Binafsi afya yangu naijua Mimi na Mungu wangu mtu asinilazimishe kuchanjwa

Mngejua vijijini kimenuka watu hawataki kabisa kusikia chochote kuhusu chanjo mngenyamaza tu.

Kizuri Cha jiuza kibaya chajitembeza acheni chajo Kama ni nzuri ijiuze wapuuzi wakubwa nyie punguzeni tozo.
 
Dawa zote zina maelezo juu ya side effects, sijajua kwa chanjo, kama zina taarifa za side effects. Sasa kama chanjo ina side effects, kwa nini chanjo hii haina maelezo ya side effects ili hiari ya mtu iwe informed?

Hao wataalam wameona kila kilichomo kwenye chanjo? Je walii-test vipi?
🚮🚮🚮
 
Binafsi afya yangu naijua Mimi na Mungu wangu mtu asinilazimishe kuchanjwa

Mngejua vijijini kimenuka watu hawataki kabisa kusikia chochote kuhusu chanjo mngenyamaza tu.

Kizuri Cha jiuza kibaya chajitembeza acheni chajo Kama ni nzuri ijiuze wapuuzi wakubwa nyie punguzeni tozo.
🚮🚮🚮
 
chanjo zote ulizowahi chanja unajua side effects zake?
Mtu ana chonjo karibu sita mwilini mwake hajawahi kuulizia side effects,eti hii ya Corona ndio anashupaa kujua side effects,anyway hata hivyo ni hiari.
 
Naona wasiotaka chanjo wanaendelea kusutwa daily, nguvu kubwa inayotumika kumnyamazisha rashid naona imehamia kwenye watu kusutwa na kunangwa kwa vijimaneno na vijimisemo vya hapa na pale.
 
Naona wasiotaka chanjo wanaendelea kusutwa daily, nguvu kubwa inayotumika kumnyamazisha rashid naona imehamia kwenye watu kusutwa na kunangwa kwa vijimaneno na vijimisemo vya hapa na pale.....
Japo nimechanjwa lakini iwe hiari na siyo kutisha watu
 
Dawa zote zina maelezo juu ya side effects, sijajua kwa chanjo, kama zina taarifa za side effects. Sasa kama chanjo ina side effects, kwa nini chanjo hii haina maelezo ya side effects ili hiari ya mtu iwe informed?

Hao wataalam wameona kila kilichomo kwenye chanjo? Je walii-test vipi?
Side effect zimeainishwa vizuri. nenda kituo cha chanjo ukapewe brochure utaona, but kama wewe umezaliwa enzi za JK au mkapa usijali sana, kinga zako bado zinalipuka kama volkano.

lakini usiwasupport kabisa wale waliozaliwa kabla na wakati wa azimio la arusha, washauri wawahi janjo. Mdudu akiingia kumtoa ni issue.
 
Waziri Mkuu, Kassim Majaliwa amesema wanaopinga chanjo ya #COVID19 hawajaguswa na virusi hivyo katika familia zao, wakiguswa watatafuta chanjo.

Amesisitiza chanjo sio lazima lakini ni muhimu. Wataalamu waliotumika kuchunguza chanjo ni wataalamu wa ndani ambao hawawezi kutaka kuwauza watu wao.

Pamoja na hayo, Waziri Mkuu amesema njia nyingine ziendelee kutumika ikiwemo kula vizuri na kufanya mazoezi na kupata chanjo kwa waliotayari kupata.
Again and again

strategy is serikali isiwe kushambulia wapinga chanjo

Iwe kuonyesha faida za chanjo against its perceived risks

why are they all repeating the same mistakes? Why?
Why?

Why?
 
Back
Top Bottom