Analogia Malenga
JF-Expert Member
- Feb 24, 2012
- 5,108
- 10,191
chanjo zote ulizowahi chanja unajua side effects zake?Dawa zote zina maelezo juu ya side effects, sijajua kwa chanjo, kama zina taarifa za side effects. Sasa kama chanjo ina side effects, kwa nini chanjo hii haina maelezo ya side effects ili hiari ya mtu iwe informed?
Hao wataalam wameona kila kilichomo kwenye chanjo? Je walii-test vipi?
Mpiga chanjo no 1 alikuwa nini yeye enzi za marehemuHawa wanaopinga chanjo hutumoa vigezo gani hasa? Mana kama hadi toothpicks ni made in China then wanatokea wapuuzi eti wanahisi mzungu amewategea kwenye chanjo ya Corona? Then upuuzi mwengine ni pale tusio na taaluma za kitabibu pia tumekua wataalam wa chanjo.
Ni hiari mkuuBinafsi afya yangu naijua Mimi na Mungu wangu mtu asinilazimishe kuchanjwa
Hiari kivipi?Ni hiari mkuu
Sababu waliharibu sn awamu ya 5Hiari kivipi?
Rais, Makamo, Waziri mkuu na Waziri was afya mbona wanatumia rasilimali kibao kunadi chanjo ambayo si lazima?
๐ฎ๐ฎ๐ฎDawa zote zina maelezo juu ya side effects, sijajua kwa chanjo, kama zina taarifa za side effects. Sasa kama chanjo ina side effects, kwa nini chanjo hii haina maelezo ya side effects ili hiari ya mtu iwe informed?
Hao wataalam wameona kila kilichomo kwenye chanjo? Je walii-test vipi?
๐ฎ๐ฎ๐ฎBinafsi afya yangu naijua Mimi na Mungu wangu mtu asinilazimishe kuchanjwa
Mngejua vijijini kimenuka watu hawataki kabisa kusikia chochote kuhusu chanjo mngenyamaza tu.
Kizuri Cha jiuza kibaya chajitembeza acheni chajo Kama ni nzuri ijiuze wapuuzi wakubwa nyie punguzeni tozo.
๐ฎHiari kivipi?
Rais, Makamo, Waziri mkuu na Waziri was afya mbona wanatumia rasilimali kibao kunadi chanjo ambayo si lazima?
Mtu ana chonjo karibu sita mwilini mwake hajawahi kuulizia side effects,eti hii ya Corona ndio anashupaa kujua side effects,anyway hata hivyo ni hiari.chanjo zote ulizowahi chanja unajua side effects zake?
Kachanje acha kutuchoshachanjo zote ulizowahi chanja unajua side effects zake?
Japo nimechanjwa lakini iwe hiari na siyo kutisha watuNaona wasiotaka chanjo wanaendelea kusutwa daily, nguvu kubwa inayotumika kumnyamazisha rashid naona imehamia kwenye watu kusutwa na kunangwa kwa vijimaneno na vijimisemo vya hapa na pale.....
Side effect zimeainishwa vizuri. nenda kituo cha chanjo ukapewe brochure utaona, but kama wewe umezaliwa enzi za JK au mkapa usijali sana, kinga zako bado zinalipuka kama volkano.Dawa zote zina maelezo juu ya side effects, sijajua kwa chanjo, kama zina taarifa za side effects. Sasa kama chanjo ina side effects, kwa nini chanjo hii haina maelezo ya side effects ili hiari ya mtu iwe informed?
Hao wataalam wameona kila kilichomo kwenye chanjo? Je walii-test vipi?
Again and againWaziri Mkuu, Kassim Majaliwa amesema wanaopinga chanjo ya #COVID19 hawajaguswa na virusi hivyo katika familia zao, wakiguswa watatafuta chanjo.
Amesisitiza chanjo sio lazima lakini ni muhimu. Wataalamu waliotumika kuchunguza chanjo ni wataalamu wa ndani ambao hawawezi kutaka kuwauza watu wao.
Pamoja na hayo, Waziri Mkuu amesema njia nyingine ziendelee kutumika ikiwemo kula vizuri na kufanya mazoezi na kupata chanjo kwa waliotayari kupata.