#COVID19 Kassim Majaliwa: Wanaopinga chanjo ni wale ambao hawajaguswa na corona kwenye familia

Ameamua kurahisisha mambo....anyway kila mtu abebe msalaba wake mwenyewe
 
Mngejua vijijini kimenuka watu hawataki kabisa kusikia chochote kuhusu chanjo mngenyamaza tu.
Sasa kama hadi gari za msalaba mwekundu zinaitwa wanyonya damu au tafiti za Sensa wanadai ni freemasons unadhani hao wanavijiji wanafanya informed decisions?? Si ndio huko bado wanaamini upinzani ukishika nchi tutaingia vitani??

Ujinga wa watanzania msigeuze mtaji wenu......
 
Kama tu kuandika ni majanga utaweza ku analyse Mambo wewe?

Kwenye kahawa huko unaweza.
 
Again and again

strategy is serikali isiwe kushambulia wapinga chanjo

Iwe kuonyesha faida za chanjo against its perceived risks

why are they all repeating the same mistakes? Why?
Why?

Why?
Wao ndo hawako serious,kwanini hawasitishi mbio za Mwenge?
Kwanini wanakusanya watu huko wanakopita?
 

Jiwe alikuwa hajaguswa. Hakuguswa ila akapigwa jumla jumla!

Ila katelefoni haoni umuhimu wowote wa tahfifu zozote wahanga sisi zaidi ya kutuongezea mzigo wa tozo na kodi ambao wao haziwahusu?
 
Tozo tushapunguza lakini kachanjwee
 
Walatin wanasema...DE OMNIBUS DUBITANDUM...(BE SUSPICIOUS OF EVERYTHING)!
 
Ambao ndio wengi na hivyo wasilazimishwe kwa kuwa wengi waliochanja ndio wanaoongoza kufa

Case Study: Tembelea Moshi utajionea mwenyewe wengine walikimbilia kuchanja huko Kenya sasa balaa limepamba moto
 
Hujui lolote kuhusu ugonjwa wa Corona na madhara yake kwa familia nyingi, siku ukigishwa ndiyo utajiona huna maana wala thamani kwa kuona chanjo haina na utaitafuta bila shuruti. Asiye jua maana ya uzima na ugonjwa hufikiri atakuwa mzima kila siku. Dunia duara
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…