Kassim Majaliwa: Wanasiasa waeleze yale watakayoyafanya kwenye kampeni na sio kubeza yaliyofanywa na wengine

Mwaka huu watachambia mawe inakuwaje wagombea wanaweka vigezo vya namna ya kampeni kufanyika hii sii miujiza mukiambiwa hakuna tume huru munabisha harafu msajili wa vyama haya hayasikii , harafu Majaliwa anasahau yeye na Magufuli na mawaziri wakuu wa mikoa makatibu wakuu makatibu tawala na mikoa na wilaya wakuu wa wilaya maafisa polisi na wanajeshi wote wanasema Magufuli ndio amefanya mambo mengi na mazuri na hakuna raisi amewahi fanya kama yeye mara ngapi Magufuli amesema waliachiwa serikali mbovu mbovu sasa tunaingia kwenye uchaguzi wamekuwa na uoga wataambiwa wananchi yote mabovu waliyoyakosea na ambayo yamevuruga uchumi wa nchi na maisha ya wananchi na ukosefu wa haki za binadamu na uminywaji wa uhuru wa kujieleza
 
Waziri Mkuu Kassim Majaliwa amewataka wanasiasa kufanya kampeni za kistaarabu mara kampeni za uchaguzi mkuu zitakapofunguliwa ili kuepuka vurugu zinazoweza kusababisha uvunjifu wa amani nchini.

Akizungumza katika ibada ya siku kuu Eid Al Adha Jijini Dar es Salaam, Majaliwa amesema kuwa ni muhimu kwa wanasiasa kueleza yale waliyopanga kuwasaidia wananchi kuliko kubeza yale yaliyofanywa na wengine na kukashfu.

“Tujiepushe na lugha za uchochezi, tujiepushe na lugha za bezo, tujiepushe na lugha za kashfa kazungumze kile ambacho utawatendea wananchi” amesema Majaliwa

Waziri Mkuu pia amewashukuru viongozi wa dini kwa kuendelea kuimarisha amani na mshikamano nchini kwa kutoa mawaidha mazuri yenye lengo la kujenga jambo ambalo limekuwa msaada mkubwa kwa Taifa.

Akielezea kuhusu hayati Benjamini Mkapa ,amesema kuwa waislamu watamkumbuka kwa kuanzisha Chuo Kikuu cha waislamu kwa kutoa majengo ya Serikali na kukabidhi kwa waislamu na hivyo kuanzishwa kwa Chuo Kikuu hicho kilichopo mjini Morogoro.

Ippmedia.com
Siungi mkono hoja hata km yana mapungufu tusiseme ili yaboreshwe?
 
Majaliwa ninayemfahamu hawezi kuongea utumbo kama huu.
 
Kuna mambo ambayo ktk maisha ya kawaida huwezi kuyazuia.
Timu ikicheza vizuri inashangiliwa, na hakuna anayewaambia watu washingilie, Na ikiboronga inazomewa.
Kushangilia na kuzomea kupo pale pale, PM tafadhali usitupangie.
 
Waziri Mkuu Kassim Majaliwa amewataka wanasiasa kufanya kampeni za kistaarabu mara kampeni za uchaguzi mkuu zitakapofunguliwa ili kuepuka vurugu zinazoweza kusababisha uvunjifu wa amani nchini.

Akizungumza katika ibada ya siku kuu Eid Al Adha Jijini Dar es Salaam, Majaliwa amesema kuwa ni muhimu kwa wanasiasa kueleza yale waliyopanga kuwasaidia wananchi kuliko kubeza yale yaliyofanywa na wengine na kukashfu.

“Tujiepushe na lugha za uchochezi, tujiepushe na lugha za bezo, tujiepushe na lugha za kashfa kazungumze kile ambacho utawatendea wananchi” amesema Majaliwa

Waziri Mkuu pia amewashukuru viongozi wa dini kwa kuendelea kuimarisha amani na mshikamano nchini kwa kutoa mawaidha mazuri yenye lengo la kujenga jambo ambalo limekuwa msaada mkubwa kwa Taifa.

Akielezea kuhusu hayati Benjamini Mkapa ,amesema kuwa waislamu watamkumbuka kwa kuanzisha Chuo Kikuu cha waislamu kwa kutoa majengo ya Serikali na kukabidhi kwa waislamu na hivyo kuanzishwa kwa Chuo Kikuu hicho kilichopo mjini Morogoro.

Ippmedia.com
Hapa nadhani atakua anamsema yule aliemuongelea vibaya Bwege
 
Majaliwa asitupangie...... Hii ni serikali iliyojaa madhaifu na ndio namna ya kuwatoa madarakani.....
 
Aseme wapinzani waliyoyafanya kwa kodi zipi kwani wao ni serikali? Na uhuru upi wa democrasia na kujieleza uliokuwepo...Majariwa namkubali sana ila kwa hili kaniangusha
 
Waziri Mkuu Kassim Majaliwa amewataka wanasiasa kufanya kampeni za kistaarabu mara kampeni za uchaguzi mkuu zitakapofunguliwa ili kuepuka vurugu zinazoweza kusababisha uvunjifu wa amani nchini.

Akizungumza katika ibada ya siku kuu Eid Al Adha Jijini Dar es Salaam, Majaliwa amesema kuwa ni muhimu kwa wanasiasa kueleza yale waliyopanga kuwasaidia wananchi kuliko kubeza yale yaliyofanywa na wengine na kukashfu.

“Tujiepushe na lugha za uchochezi, tujiepushe na lugha za bezo, tujiepushe na lugha za kashfa kazungumze kile ambacho utawatendea wananchi” amesema Majaliwa

Waziri Mkuu pia amewashukuru viongozi wa dini kwa kuendelea kuimarisha amani na mshikamano nchini kwa kutoa mawaidha mazuri yenye lengo la kujenga jambo ambalo limekuwa msaada mkubwa kwa Taifa.

Akielezea kuhusu hayati Benjamini Mkapa ,amesema kuwa waislamu watamkumbuka kwa kuanzisha Chuo Kikuu cha waislamu kwa kutoa majengo ya Serikali na kukabidhi kwa waislamu na hivyo kuanzishwa kwa Chuo Kikuu hicho kilichopo mjini Morogoro.

Ippmedia.com
Siasa na dini havijachanganywa hapo?
Kama jambo limefanywa sawa waliofanya watasifiwa na kama ni la ovyo itasemwa woga wa nini?
 
Aseme wapinzani waliyoyafanya kwa kodi zipi kwani wao ni serikali? Na uhuru upi wa democrasia na kujieleza uliokuwepo...Majariwa namkubali sana ila kwa hili kaniangusha
Hao anaodai watafanya vurugu ni kina nani? Je amesahau huyuhuyu aliyeshiriki kuiua EAMW ndiye huyohuyo aliyejitakasa... aaah nikomee hapo
 
Wao walipiga marufuku mikutano ya hadhara kwa vyama vya upinzani, mengi yangekuwa yameshaongelewa huko. Sasa wasubiri hicho lifurushi cha miezi miwili ya kampeni kiwaingie vema. Labda wapige kampeni maarufuku, vinginevyo ni vigumu kuzuia watu waliofungwa midomo miaka 5 wasitoe yaliyojaa mioyoni mwao, yawe mazuri au mabaya.
 
Waziri Mkuu Kassim Majaliwa amewataka wanasiasa kufanya kampeni za kistaarabu mara kampeni za uchaguzi mkuu zitakapofunguliwa ili kuepuka vurugu zinazoweza kusababisha uvunjifu wa amani nchini.

Akizungumza katika ibada ya siku kuu Eid Al Adha Jijini Dar es Salaam, Majaliwa amesema kuwa ni muhimu kwa wanasiasa kueleza yale waliyopanga kuwasaidia wananchi kuliko kubeza yale yaliyofanywa na wengine na kukashfu.

“Tujiepushe na lugha za uchochezi, tujiepushe na lugha za bezo, tujiepushe na lugha za kashfa kazungumze kile ambacho utawatendea wananchi” amesema Majaliwa

Waziri Mkuu pia amewashukuru viongozi wa dini kwa kuendelea kuimarisha amani na mshikamano nchini kwa kutoa mawaidha mazuri yenye lengo la kujenga jambo ambalo limekuwa msaada mkubwa kwa Taifa.

Akielezea kuhusu hayati Benjamini Mkapa ,amesema kuwa waislamu watamkumbuka kwa kuanzisha Chuo Kikuu cha waislamu kwa kutoa majengo ya Serikali na kukabidhi kwa waislamu na hivyo kuanzishwa kwa Chuo Kikuu hicho kilichopo mjini Morogoro.

Ippmedia.com
Hicho ndicho kipaji chetu asitupangie huyu! Kwani kusema mlikurupuka kununua ndege sisi CHADEMA tungefanya hivi ni vibaya? Mbona wanaanza kurukaruka kama maharage ya njano ya Kigoma? Watulie tufungulie midomo mwezi ujao!
 
Waziri Mkuu Kassim Majaliwa amewataka wanasiasa kufanya kampeni za kistaarabu mara kampeni za uchaguzi mkuu zitakapofunguliwa ili kuepuka vurugu zinazoweza kusababisha uvunjifu wa amani nchini.

Akizungumza katika ibada ya siku kuu Eid Al Adha Jijini Dar es Salaam, Majaliwa amesema kuwa ni muhimu kwa wanasiasa kueleza yale waliyopanga kuwasaidia wananchi kuliko kubeza yale yaliyofanywa na wengine na kukashfu.

“Tujiepushe na lugha za uchochezi, tujiepushe na lugha za bezo, tujiepushe na lugha za kashfa kazungumze kile ambacho utawatendea wananchi” amesema Majaliwa

Waziri Mkuu pia amewashukuru viongozi wa dini kwa kuendelea kuimarisha amani na mshikamano nchini kwa kutoa mawaidha mazuri yenye lengo la kujenga jambo ambalo limekuwa msaada mkubwa kwa Taifa.

Akielezea kuhusu hayati Benjamini Mkapa ,amesema kuwa waislamu watamkumbuka kwa kuanzisha Chuo Kikuu cha waislamu kwa kutoa majengo ya Serikali na kukabidhi kwa waislamu na hivyo kuanzishwa kwa Chuo Kikuu hicho kilichopo mjini Morogoro.

Ippmedia.com
Kwani awamu zingine hazikufanya kitu eeee?

Maana awamu hii ndio kila kitu yenyewe tu.......
 
Nawahurumia zaidi Hawa masikini ndo wanaenda kusahaulika kabisa.
Only time will tell!
 
Waziri Mkuu Kassim Majaliwa amewataka wanasiasa kufanya kampeni za kistaarabu mara kampeni za uchaguzi mkuu zitakapofunguliwa ili kuepuka vurugu zinazoweza kusababisha uvunjifu wa amani nchini.

Akizungumza katika ibada ya siku kuu Eid Al Adha Jijini Dar es Salaam, Majaliwa amesema kuwa ni muhimu kwa wanasiasa kueleza yale waliyopanga kuwasaidia wananchi kuliko kubeza yale yaliyofanywa na wengine na kukashfu.

“Tujiepushe na lugha za uchochezi, tujiepushe na lugha za bezo, tujiepushe na lugha za kashfa kazungumze kile ambacho utawatendea wananchi” amesema Majaliwa

Waziri Mkuu pia amewashukuru viongozi wa dini kwa kuendelea kuimarisha amani na mshikamano nchini kwa kutoa mawaidha mazuri yenye lengo la kujenga jambo ambalo limekuwa msaada mkubwa kwa Taifa.

Akielezea kuhusu hayati Benjamini Mkapa ,amesema kuwa waislamu watamkumbuka kwa kuanzisha Chuo Kikuu cha waislamu kwa kutoa majengo ya Serikali na kukabidhi kwa waislamu na hivyo kuanzishwa kwa Chuo Kikuu hicho kilichopo mjini Morogoro.

Ippmedia.com
Sijui kwanini watawala wanaamini wanaakili kuliko watu wote mpaka uwapangie watu chakuongea duh!
 
Back
Top Bottom