Namuomba waziri mkuu atenge fungu kwa ajili ya uchimbaji wa visima vya maji kwa ajili ya umwagiliaji.pia ikiwezekana hata mabwawa yachimbwe kwa wingi .mbona maeneo mengi hapa Tanzania maji yapo karibu ni jambo la kuamua na kutenda tu.Waziri Mkuu Kassim Majaliwa amewataka Watanzania kuingia na kubobea kwenye kilimo, mifugo na uvuvi, akisema kuwa hilo ndilo eneo litakaoleta uchumi wa mtu mmoja mmoja na wananchi wote kwa ujumla.
Kauli hiyo ameitoa jana Agosti 3, 2023 baada ya kukagua mabanda ya maonesho ya nanenane kitaifa kwenye viwanja vya John Mwakangale, jijini Mbeya, ambapo ameongeza kuwa ilani ya Chama cha Mapindunzi (CCM), imeagiza Serikali kuhakikisha inafanya kila namna ili kila Mtanzania akingie sekta ya uzalishaji kisha aamua kuzalisha ama kwa matumizi yake au kibishara.
CCM ni chama cha Propaganda. Wao kazi yao ni kusema tu...... Mayendo zero. Yeye pamoja na kuiba kote huko bado wameshindwa kuwekeza kwenye kilimo. Nategemea wa kulima wadogo wadogo ndiyo wafanye hivyo.Stori zilezile za
Siasa ni kilimo
Kilimo cha kufa na kupona
Kilimo ni uti wa mgongo
Kilimo kwanza
Tukaja viwanda kwanza
Waziri mkuu anasema turudi kwenye kilimo.
Maneno meengi kwa miaka 60, utekelezaji Sifuri.
Ni yale yale kuww kilimao ni uti wa mgongo wa taifa , halafu kwa nyuma watu wanaiba madini ,safari hii ni DPWaziri Mkuu Kassim Majaliwa amewataka Watanzania kuingia na kubobea kwenye kilimo, mifugo na uvuvi, akisema kuwa hilo ndilo eneo litakaoleta uchumi wa mtu mmoja mmoja na wananchi wote kwa ujumla.
Kauli hiyo ameitoa jana Agosti 3, 2023 baada ya kukagua mabanda ya maonesho ya nanenane kitaifa kwenye viwanja vya John Mwakangale, jijini Mbeya, ambapo ameongeza kuwa ilani ya Chama cha Mapindunzi (CCM), imeagiza Serikali kuhakikisha inafanya kila namna ili kila Mtanzania akingie sekta ya uzalishaji kisha aamua kuzalisha ama kwa matumizi yake au kibishara.
Ntampatia mbuzi 10 na punda3 aanze nao.baada ya mwaka atakuwa tayari ashapata za kwakeAachie uwaziri mkuu aingie yeye kwenye mifugo awe mfano
Ova
Hii kauli inatakiwa iendane na mfumo wa Elimu na Maisha yetu , ambayo yanatakiwa kuanzia kwenye ngazi ya chini yaani kifamilia, shuleni na kwenda juu. Lakini Kwa miaka Mingi toka alivyo ngatuka Nyerere tumekuwa na Sera za uchuuzi, mishenit town , kuajiriwa nk , sasa inabidi kizazi cha sasa waanze kufundishwa toka utotoni haya mambo na viongozi hasa wa siasa waache upigaji na kusema uongo . Ili watoto waone kweli uongo haufaiWaziri Mkuu Kassim Majaliwa amewataka Watanzania kuingia na kubobea kwenye kilimo, mifugo na uvuvi, akisema kuwa hilo ndilo eneo litakaoleta uchumi wa mtu mmoja mmoja na wananchi wote kwa ujumla.
Kauli hiyo ameitoa jana Agosti 3, 2023 baada ya kukagua mabanda ya maonesho ya nanenane kitaifa kwenye viwanja vya John Mwakangale, jijini Mbeya, ambapo ameongeza kuwa ilani ya Chama cha Mapindunzi (CCM), imeagiza Serikali kuhakikisha inafanya kila namna ili kila Mtanzania akingie sekta ya uzalishaji kisha aamua kuzalisha ama kwa matumizi yake au kibishara.
Unafuga au unalima nini, ambacho hakijawa na manufaa kwako?Stori zilezile za
Siasa ni kilimo
Kilimo cha kufa na kupona
Kilimo ni uti wa mgongo
Kilimo kwanza
Tukaja viwanda kwanza
Waziri mkuu anasema turudi kwenye kilimo.
Maneno meengi kwa miaka 60, utekelezaji Sifuri.
Sasa mbona yeye jimboni kwake kagawa bodaboda 200 anahamasisha vijana wawe boda akienda mkoa mwingine tena anaongea anahamasisha vijana kuhusu kilimo hizi ni siasa tu za kutafuta uungwaji mkonoYuko sawa kilimo na ufugani vinalipa
Hizo ni sera zako binafsi. Kama hazijakusaidia miaka yote anza japo kufuga kuku wa kitoweo.Hii kauli inatakiwa iendane na mfumo wa Elimu na Maisha yetu , ambayo yanatakiwa kuanzia kwenye ngazi ya chini yaani kifamilia, shuleni na kwenda juu. Lakini Kwa miaka Mingi toka alivyo ngatuka Nyerere tumekuwa na Sera za uchuuzi, mishenit town , kuajiriwa nk , sasa inabidi kizazi cha sasa waanze kufundishwa toka utotoni haya mambo na viongozi hasa wa siasa waache upigaji na kusema uongo . Ili watoto waone kweli uongo haufai
Unataka "kuendesha" bandari unayo leseni ya "kuendesha" bandari?Sisi tunataka kuendesha Bandari na siyo mambo ya kulimalima