Kassimu Majaliwa uje na huku Monduli, pesa inatafunwa sana huku ni mamia ya mamilioni ya serikali...

Kassimu Majaliwa uje na huku Monduli, pesa inatafunwa sana huku ni mamia ya mamilioni ya serikali...

sirluta

JF-Expert Member
Joined
Nov 28, 2012
Posts
6,325
Reaction score
2,491
Hongera umeanza na rungwe, fuatia sehemu zingine, kama huku Monduli Arusha utafunaji wa hela za serikali ni wa kutisha: pesa za ruzuku ya chakula kwa wanafunzi, ruzuku ya vitabu, fedha za boresha elimu, n.k jitahidi uje na huku ukishindwa kabisa tafuta siku moja hata uvamie ghafla shule hata mbili ufanye utafiti.
 
Unataka AFWEE?
Waandishi wa habari tu waliomsaliti wameng'olewa macho na meno
leo ukaingilie Jimbo lenye vichwa ngumu,
mwaka jana t kuna mwandishi kafuatilia Tanesco km sio kukimbia tusingekuwa naye
 
Unataka AFWEE?
Waandishi wa habari tu waliomsaliti wameng'olewa macho na meno
leo ukaingilie Jimbo lenye vichwa ngumu,
mwaka jana t kuna mwandishi kafuatilia Tanesco km sio kukimbia tusingekuwa naye

hamna bhana mh. EL amehamasisha sana wazazi kuchangia elimu na wameitikia wito kwa asilimia kubwa, ila ile michango ya wazazi haifanyi kazi ya kuboresha elimu bali inaboresha MATUMBO ya baadhi ya watumishi wa halmashauri. EL huwa wanamdanganya sana hivyo ingefaa vitengo husika vifanye kazi yake ya kukagua hiyo halmashauri.
 
Back
Top Bottom