Kaswende inaniua! Msaada wana jf

Kaswende inaniua! Msaada wana jf

CUSO

Member
Joined
Mar 31, 2014
Posts
26
Reaction score
4
Wapendwa, nina tatizo ambalo mwanzoni lilikuwa dogo lakini sasa naweza kusema limekuwa sugu. Niliwahi kufanya sexual intercourse ambayo result yake ni kuumia na kujeruhiwa kwa kojoleo. Yaan nimeambukizwa ugonjwa kaswende. Nimefanya jitihada sana kuhakikisha napona bila mafanikia. Nimetumia vidonge na hata sindano lakini hazijanisaidia. Tatizo linapoa tu then linaanza kuleta madhara. Linaniletea uchovu na hata kojoleo halina raha yoyote. Nawaomba wataalam wa hapa wanivumbulie njia muafaka ya kunisaidia ikiwa ni pamoja na tiba kwa anayejua. Changieni sasa
 
Katika ulimwengu huu wa tiba unasumbuliwaje na kaswende?acha kujitibu uchochoroni nenda hospitali onana na wataalamu pata tiba sahihi!baada ya hpo ACHA MICHEPUKO!
 
ikisha kuwa sugu hiyo na kwenda kichwani haina dawa
 
Katika ulimwengu huu wa tiba unasumbuliwaje na kaswende?acha kujitibu uchochoroni nenda hospitali onana na wataalamu pata tiba sahihi!baada ya hpo ACHA MICHEPUKO!

Ndugu hopitalini huko ndo nimeambulia sindano na vidonge ila tatizo kama lilipoa tu. Hata hivyo nashukuru kwa ushauri wako.
 
Tiba sahihi kwako ni kuotesha sample ili kupata dawa sahihi!kuna mshikaji wangu ilibidi apewe dozi ya mbwa !
 
Ndugu hopitalini huko ndo nimeambulia sindano na vidonge ila tatizo kama lilipoa tu. Hata hivyo nashukuru kwa ushauri wako.

Mkuu umetumia sindano ya penadoo?Unatwangwa moja kwa wiki,kwa wiki tatu na vidonge vya antibiotics kadhaa.Niliwahi kuugua miaka ya tisini hivi,hiyo sindano ilimaliza kila kitu.Kipindi hicho nilikuwa Single,sasa nipo njia kuu
 
Nenda hospital ukatibiwe,pia kama uko mbali na kituo cha afya muone tabibu mwambie akudunge sindano ya Benthazin penicillin ni kiboko kwa magonjwa hayo,pia kama hutapata nafuu ntafute ninadawa nzurisana ya asili inayotibu tatzo hilo kwa mda wa wikimbili(2)tu,unakuwa ukosafi kabisa.
 
Nilishasema usawa huu ni kutafuta mmoja na kuwa mpole tu.

Vinginevyo unachezea kaburi.

Maana hata ukivaa ndomu unweza kuchujua herpes.
 
Nenda hospital ukatibiwe,pia kama uko mbali na kituo cha afya muone tabibu mwambie akudunge sindano ya Benthazin penicillin ni kiboko kwa magonjwa hayo,pia kama hutapata nafuu ntafute ninadawa nzurisana ya asili inayotibu tatzo hilo kwa mda wa wikimbili(2)tu,unakuwa ukosafi kabisa.

Duh .......unadawa ya kila gonjwa hongera zako
 
Nenda hospital ukatibiwe,pia kama uko mbali na kituo cha afya muone tabibu mwambie akudunge sindano ya Benthazin penicillin ni kiboko kwa magonjwa hayo,pia kama hutapata nafuu ntafute ninadawa nzurisana ya asili inayotibu tatzo hilo kwa mda wa wikimbili(2)tu,unakuwa ukosafi kabisa.

Duh .......unadawa ya kila gonjwa na dawa zako ni wk mbili tu zikizidi tatu LOL........hahhahahaha........ hongera zako
 
Back
Top Bottom