Kaswende inaniua! Msaada wana jf

Kaswende inaniua! Msaada wana jf

Wapendwa, nina tatizo ambalo mwanzoni lilikuwa dogo lakini sasa naweza kusema limekuwa sugu. Niliwahi kufanya sexual intercourse ambayo result yake ni kuumia na kujeruhiwa kwa kojoleo. Yaan nimeambukizwa ugonjwa kaswende. Nimefanya jitihada sana kuhakikisha napona bila mafanikia. Nimetumia vidonge na hata sindano lakini hazijanisaidia. Tatizo linapoa tu then linaanza kuleta madhara. Linaniletea uchovu na hata kojoleo halina raha yoyote. Nawaomba wataalam wa hapa wanivumbulie njia muafaka ya kunisaidia ikiwa ni pamoja na tiba kwa anayejua. Changieni sasa
Nitafute mimi ninaweza kukutibia Kaswende hata wale wenye ugonjwa wa Hapatiti B munitafute ninayo dawa nitawatibieni niandikie Email baruw aya pepe email Address yangu hii hapa fewgoodman@hotmail.com
 
Wewe ni --------, unashindwa kutibu kaswende
 
Nenda kapate sindano CEFRIAXONE. otherwise kaoteshe wadudu hao ili ijulikane dawa sahihi kwako. Wengine hudungwa sindano za wanyama ndo hupona. kuna jamaa (Vet doc) yeye huwapa dozi ya antibiotic za Ng'ombe. Ofcourse hupunguza tu cc kidogo ili usife.
 
Submit proper samples for culture and sensitivity test.....utaachana na kaswende hiyo inatibika. Nenda pale Muhimbili au regency kuna laboratory zinaitwa Lancet
 
STI's zinatibika na dawa zipo
Uwe muwazi kwa daktari namna tatizo lilivyoanza,lina muda gani na umetumia dawa gani bila kupata ahueni
Nenda hospitali kubwa wewe na mwenzi wako kwa vipimo na matibabu...hakikisha unatumia dawa kwa wakati na unamaliza usikatishe
Hakikisha umepona na umejipa muda wa kutosha ndipo uanze tena kungonoka
Fwata ushauri wa daktari na uache ngono isiyo salama..ugua pole na nikutakie kila la heri
 
Back
Top Bottom